12.07.2015 Views

HOTUBA YA WAKALA WA BARABARA (TANROADS ... - Uwaba.or.tz

HOTUBA YA WAKALA WA BARABARA (TANROADS ... - Uwaba.or.tz

HOTUBA YA WAKALA WA BARABARA (TANROADS ... - Uwaba.or.tz

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

HOTUBA YA WAKALA WA BARABARA (TANROADS) KWAWANACHAMA WA UMMA WA WAPANDA BAISKELIDAR ES SALAAM (UWABA)09 MEI 2010Mheshimiwa Mgeni RasmiNdugu Wanachama wa UWABANdugu Wageni WaalikwaNdugu Mabibi na MabwanaKwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS),napenda kuwashukuru sana Nchi za Umoja wa Ulaya (European Union) kwakutualika katika hafla hii ya msafara wa baiskeli ulioandaliwa kwa pamoja naUmma wa Wapanda Baiskeli (UWABA).Binafsi nikiwa mshiriki sana na mpenda mazoezi, imekuwa ni fursa tenakushiriki tukio ninalolithamini sana. Ninatoa rai ushirikiano huu uliobainishwakwa mwaliko wa UWABA na Umoja wa Ulaya kwa TANROADS usiishie hapabali uendelee zaidi, lengo likiwa ni kuhamasisha matumizi ya baiskeli kwausafiri wa kila siku kwa usalama, kujiamini na raha.TANROADS tunashiriki katika msafara wa wapanda baiskeli kwa mwaliko waUWABA kwa mara ya pili, mara ya kwanza ikiwa ni Oktoba mwaka jana.Kutokana na mafanikio makubwa yaliyashuhudia katika msafara wa mwaka jana,tulipopata mwaliko na safari hii tuliupokea kwa kuhamasika sana.Ndugu Mgeni Rasmi, usafiri wa baiskeli una faida nyingi sana kwa maisha yabinadamu zikiwemo; kutunza mazingira kwani ni usafiri usiotumia nishati yamafuta ambayo matumizi yake huchangia sana katika uharibifu wa mazingira,kupunguza msongamano wa magari barabarani, kuwahi katika shughuli zakiuchumi na kijamii, mazoezi ya mwili ambayo ni muhimu kwa afya yabinadamu, n.k.Aidha napenda kuchukua fursa hii kuelezea majukumu ya TANROADS kwajumuiya ya wapanda baiskeli kama UWABA na wengineo.TANROADS ilianzishwa tarehe 1 Julai 2000 kupitia Gazeti la Serikali N. 293 lamwaka 2000 chini ya kifungu cha 3(1) cha sheria namba 30 ya 1997 kuchukua

TANROADS pia ina jukumu la utunzaji wa mazingira katika majukumu yake yamatengenezo na ujenzi wa barabara. Tunatoa rai kwa UWABA pamoja ummawote uliojitokeza katika hafla hii leo, kwa pamoja tuendelee kulivalia njuga sualala utunzaji wa mazingira ili tuweze kuinusuru nchi yetu na athari za tabia nchinikwa maslahi yetu na vizazi vyetu vijavyo.Nichukue fursa hii pia kutoa rai kwenu msaidiane na TANROADS na vyombovingine vyenye mamlaka, katika kutunza vifaa vya barabarani kama vile alamaza barabarani, taa za barabarani (street lights), taa za kuongozea magari (trafficlights) n.k. Vifaa hivi ni muhimu katika kuchangia usalama barabarani namatumizi bora ya barabara zetu.Mwisho TANROADS inatoa wito kwa watumiaji wote wa barabara, waendeshaomagari, watembea kwa miguu na wapanda baiskeli kulinda usalama wao nausalama wa watumiaji wengine wa barabara.ASANTENI SANA!

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!