11.07.2015 Views

Vipeperushi kwa Wapanda Baisikeli kuhusu Ilani za ... - Uwaba.or.tz

Vipeperushi kwa Wapanda Baisikeli kuhusu Ilani za ... - Uwaba.or.tz

Vipeperushi kwa Wapanda Baisikeli kuhusu Ilani za ... - Uwaba.or.tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Wapanda baisikeli !Wapanda baisikeli !www.uwaba.or.tzTumia kura yako !www.uwaba.or.tzTumia kura yako !Asasi ya Umma wa wapanda Baisikeli Dar Es Salaam ina malengo yafuatayo:- kuongeza usalama barabarani kwa wapanda baisikeli (wapanda baisikeli wakawaida, wapanda baisikeli walemavu na waendesha maguta)- kuhamasisha baisikeli kama chombo cha usafiri mjini ambacho kina faida nyingikwa mpanda baisikeli mwenyewe, kwa jamii na kwa mazingira – kupunguzamsongamano wa magari, kutochafua hewa, kusaidia watu wote kupata usafiri wabei nafuu na wa haraka mlango hadi mlango na kuongeza afyaMwanzoni mwa mwaka huu asasi yetu iliandika barua kwa vyama vya siasa ili kutoamaoni kwenye ilani za uchaguzi kuhusu usalama barabarani na sera zinazohusuwapanda baisikeli.Tumezipitia na kuzisoma ilani hizi kuangalia kama maoni yetuyamezingatiwa. Hapa tumeandika muhtasari wa kila chama kinasemaje katika Ilaniyao kuhusu usalama barabarani, hasa kwa wapanda baisikeli na walemavu.Tunatumaini taarifa hizi zinaweza kusaidia wapanda baisikeli kutumia kura zaokuongeza usalama barabarani na kuboresha mazingira ya wapanda baisikeli.Ilani ya uchaguzi inasemajeTanzania Labour Party (TLP)Uk 34 “Aidha, tunaamini kwamba nyingi yabarabara zilizojengwa,zimejengwa zaidi kwakuangalia maslahi binafsi ya viongonzi/ watawalasiyo maslahi ya wanachi kwa ujumla wake.”Uk 35 “TLP itahakikisha kwamba barabara zotezinakuwa na sehemu ya watembea kwa miguu,wapanda baisikeli, na sehemu ya walemavu ilikuepusha ajali zinazowakuta wapanda baisikeli nawalemavu mara kwa mara.”Chama cha Mapinduzi (CCM)Uk 92 “Aidha, Serikali itaendelea kusimamiautekelezaji wa Sheria zinazohusiana na usafiri nakukamilisha maandalizi ya kanuni za Sheria yaUsalama Barabarani pamoja na kuimarishaKarakana Kuu ya Serikali.”Uk 43 “Kuanzisha mradi wa mabasi yaendayo kasi(DART).”Maoni ya UWABA- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- wanasema wataangalia usalamawa watembea kwa miguu, wapandabaisikeli na walemavu wakati wakujenga barabara- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- hawasemi chochote kuhusumahitaji ya watembea kwa miguuwala wapanda baisikeli walawalemavu katika ujenzi wabarabara- tumepata taarifa (nje ya ilani)kwamba mradi wa DART itakuwana njia maalum za wapandabaisikeli na pia kwa watembea kwamiguu Morogoro RoadAsasi ya Umma wa wapanda Baisikeli Dar Es Salaam ina malengo yafuatayo:- kuongeza usalama barabarani kwa wapanda baisikeli (wapanda baisikeli wakawaida, wapanda baisikeli walemavu na waendesha maguta)- kuhamasisha baisikeli kama chombo cha usafiri mjini ambacho kina faida nyingikwa mpanda baisikeli mwenyewe, kwa jamii na kwa mazingira – kupunguzamsongamano wa magari, kutochafua hewa, kusaidia watu wote kupata usafiri wabei nafuu na wa haraka mlango hadi mlango na kuongeza afyaMwanzoni mwa mwaka huu asasi yetu iliandika barua kwa vyama vya siasa ili kutoamaoni kwenye ilani za uchaguzi kuhusu usalama barabarani na sera zinazohusuwapanda baisikeli.Tumezipitia na kuzisoma ilani hizi kuangalia kama maoni yetuyamezingatiwa. Hapa tumeandika muhtasari wa kila chama kinasemaje katika Ilaniyao kuhusu usalama barabarani, hasa kwa wapanda baisikeli na walemavu.Tunatumaini taarifa hizi zinaweza kusaidia wapanda baisikeli kutumia kura zaokuongeza usalama barabarani na kuboresha mazingira ya wapanda baisikeli.Ilani ya uchaguzi inasemajeTanzania Labour Party (TLP)Uk 34 “Aidha, tunaamini kwamba nyingi yabarabara zilizojengwa,zimejengwa zaidi kwakuangalia maslahi binafsi ya viongonzi/ watawalasiyo maslahi ya wanachi kwa ujumla wake.”Uk 35 “TLP itahakikisha kwamba barabara zotezinakuwa na sehemu ya watembea kwa miguu,wapanda baisikeli, na sehemu ya walemavu ilikuepusha ajali zinazowakuta wapanda baisikeli nawalemavu mara kwa mara.”Chama cha Mapinduzi (CCM)Uk 92 “Aidha, Serikali itaendelea kusimamiautekelezaji wa Sheria zinazohusiana na usafiri nakukamilisha maandalizi ya kanuni za Sheria yaUsalama Barabarani pamoja na kuimarishaKarakana Kuu ya Serikali.”Uk 43 “Kuanzisha mradi wa mabasi yaendayo kasi(DART).”Maoni ya UWABA- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- wanasema wataangalia usalama wawatembea kwa miguu, wapandabaisikeli na walemavu wakati wakujenga barabara- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli wala walemavukatika ujenzi wa barabara- tumepata taarifa (nje ya ilani)kwamba mradi wa DART itakuwa nanjia maalum za wapanda baisikeli napia kwa watembea kwa miguuMorogoro Road

Chama cha Demokrasia (CHADEMA)Uk 26 “Aidha, ajali za barabarani zimeendeleakuua Watanzania wengi kila mwaka, na hakunajitihada zinafanywa na serikali ya CCM katikakukabiliana nazo, zaidi ya kutoa salamu zarambirambi kila ajali hizo zinapotokea.”Uk 29 “Kuweka mfumo thabiti wa kudhibiti matukioya ajali barabarani. Hatua zitakazochukuliwa nipamoja na kuhakikisha vyombo vya usafirivinakuwa katika hali ya ubora unaotakiwa, kudhibitiutoaji holela wa leseni za udereva, kutoa adhabukali (vifungo na faini) kwa madereva na wamiliki wavyombo vitakavyosababisha ajali kwa uzembe.Aidha matumizi ya mikanda ya usalama kwenyemagari ya abiria na binafsi litakuwa jambo lalazima. Vile vile hakuna chombo cha abiriaambacho kitaruhusiwa kubeba abiria zaidi yauwezo wake.”- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- wanasema hatua mbali mbaliwatakazochukua kuongeazausalama barabarani na kupunguzaudereva mbaya- wanasema wataangalia usalama wawalemavu wakati wa kujengabarabara- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli katika ujenzi wabarabaraChama cha Demokrasia (CHADEMA)Uk 26 “Aidha, ajali za barabarani zimeendeleakuua Watanzania wengi kila mwaka, na hakunajitihada zinafanywa na serikali ya CCM katikakukabiliana nazo, zaidi ya kutoa salamu zarambirambi kila ajali hizo zinapotokea.”Uk 29 “Kuweka mfumo thabiti wa kudhibiti matukioya ajali barabarani. Hatua zitakazochukuliwa nipamoja na kuhakikisha vyombo vya usafirivinakuwa katika hali ya ubora unaotakiwa, kudhibitiutoaji holela wa leseni za udereva, kutoa adhabukali (vifungo na faini) kwa madereva na wamiliki wavyombo vitakavyosababisha ajali kwa uzembe.Aidha matumizi ya mikanda ya usalama kwenyemagari ya abiria na binafsi litakuwa jambo lalazima. Vile vile hakuna chombo cha abiriaambacho kitaruhusiwa kubeba abiria zaidi yauwezo wake.”- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- wanasema hatua mbali mbaliwatakazochukua kuongeazausalama barabarani na kupunguzaudereva mbaya- wanasema wataangalia usalama wawalemavu wakati wa kujengabarabara- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli katika ujenzi wabarabaraUk 35 “Kuhakikisha kuwa miundo mbinu yotemuhimu ikiwemo barabara inatengenezwa nakurekebishwa ili kukidhi na kuzingatia mahitaji yawatu wenye ulemavu.”Civic United Front (CUF)Uk 53 “Suala zima la usalama barabarani badolimedharauliwa”“Itaweka mkakati maalum wa kuzitunza barabarazilizojengwa na kuziwekea vifaa na huduma zoteza kisasa zikiwemo alama na taa za barabarani.”Uk 54 “Itasimamia usafirishaji wa barabaranikuhakikisha heshima na usalama waabiria na mizigo.Itaimarisha usalama barabarani, kwa kuwekaalama kila panapostahiki na kuzitilia nguvu sheriaza barabarani, hasa zile zinazohusika na uzito wamizigo na kasi ya mwendo.”NCCR-MageuziUk 22 “Itajenga mfumo mpya wa usafiri wabarabara na reli katika mijimikubwa ikianzia Dar esSalaam ili kuondoakero ya msongamano wamagari, uhaba wa usafiri na ajali zinazosababiswana barabara mbovu na nyembamba"- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- wanasema hatua mbali mbaliwatakazochukua kuongeazausalama barabarani- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli wala walemavukatika ujenzi wa barabara- ni vizuri wanatamka ajali zabarabarani- wanasema wataangalia malengo yakupunguza ajali wakati wa kuandaamfumo wa usafiri- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli wala walemavukatika ujenzi wa barabaraUk 35 “Kuhakikisha kuwa miundo mbinu yotemuhimu ikiwemo barabara inatengenezwa nakurekebishwa ili kukidhi na kuzingatia mahitaji yawatu wenye ulemavu.”Civic United Front (CUF)Uk 53 “Suala zima la usalama barabarani badolimedharauliwa”“Itaweka mkakati maalum wa kuzitunza barabarazilizojengwa na kuziwekea vifaa na huduma zoteza kisasa zikiwemo alama na taa za barabarani.”Uk 54 “Itasimamia usafirishaji wa barabaranikuhakikisha heshima na usalama waabiria na mizigo.Itaimarisha usalama barabarani, kwa kuwekaalama kila panapostahiki na kuzitilia nguvu sheriaza barabarani, hasa zile zinazohusika na uzito wamizigo na kasi ya mwendo.”NCCR-MageuziUk 22 “Itajenga mfumo mpya wa usafiri wabarabara na reli katika mijimikubwa ikianzia Dar esSalaam ili kuondoakero ya msongamano wamagari, uhaba wa usafiri na ajali zinazosababiswana barabara mbovu na nyembamba"- ni vizuri wanatamka usalamabarabarani- wanasema hatua mbali mbaliwatakazochukua kuongeazausalama barabarani- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli wala walemavukatika ujenzi wa barabara- ni vizuri wanatamka ajali zabarabarani- wanasema wataangalia malengo yakupunguza ajali wakati wa kuandaamfumo wa usafiri- hawasemi chochote kuhusu mahitajiya watembea kwa miguu walawapanda baisikeli wala walemavukatika ujenzi wa barabaraUmma wa Wapanda Baisikeli Dar es Salaam (UWABA)PO Box 90361, Manzese Sisi kwa Sisi, Dar es Salaam0713652642 0715568512 0714623774 uwabadar@yahoo.co.ukwww.uwaba.or.tzUmma wa Wapanda Baisikeli Dar es Salaam (UWABA)PO Box 90361, Manzese Sisi kwa Sisi, Dar es Salaam0713652642 0715568512 0714623774 uwabadar@yahoo.co.ukwww.uwaba.or.tz

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!