11.07.2015 Views

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli Dar es Salaam5 Desemba 2009WaliohudhuriaElaine Baker-GuniGeorge KabogoJuma Ali Salehe JongoMichael Francis KessyHamadi Hatibu BwajaMohammed SamwelyFilbert MbechaHusein Hamza HamisiIdrisa Kessi ZongoKibwana Mohammad MsigaMohammed Kasimu KipendeSelion ElieskiaSosthenes C AmlimaGodfrey JaxBashiri RashidiAbdul H MwaibambeEdgar R PauloMkutano wa Barabara ArushaMejah, Filbert, Sosthenes na Dominata walihudhuria mkutano huu, na Idrisa waUWABATAN. Sosthenes anaandika repoti. Mejah alichangia sana mawazo na Filbertalikutana na watu wanaoweza kushirikiana nasi.Business cardsMicheal alisema atafanya utafiti kuhusu business cards za kamati wa UWABA.MsafaraBarua za kushukuru zilipelekwa TANROADS - Filbert, Diwani Lupilya na traffic police– Sosthenes. Tutachecki kama Paulo alipeleka kampuni ya guta.Barua ya British High Commission Elaine atatayarisha.Ride Planet EarthKesho tutafanya msafara wa Ride Planet Earth. Elaine aliwasiliana na Kali Matawalisema lunch itakuwa Tsh 4,000 kwa mtu. Watu 20 wamejisajili – wenginewatukutana ofisini wengine wataende moja kwa moja Kigamboni. Tutatumia bendera,spika, vipeperushi na badges za global climate campaign.UNDPElaine hajapata nafasi kuandika proposal bado.Mabadaliko ya tabia ya nchiFilbert na Hamadi walihudhuria mkutano wa NGOs kuhusu mabadaliko ya tabia ya nchijumatano. Walipata taarifa zaidi kuhusu matatizo mabadaliko ya tabia ya nchiinasababisha kwa wakulima na wananchi. Mhe Batilda Buriani alikuwa mgeni rasmi.

Elaine alisema kuna online debate kuhusu mabadaliko ya tabia ya nchi na Micheal naGeorge walisema watashiriki.TangaUWABATAN watatumia CVs ili tuwasaidie kusajili.Elaine atawakumbusha kuwasiliana na ofisi ya UDEM Tanga.Elaine atawasiliana na Uli Malsius kujua lini tunaweza kutana na kampuniwataotengeneza njia ya baisikeli Tanga.Mkutano wa mabadaliko ya tabia ya nchi MorogoroHussein Hamza na Idrisa walishiriki kwenye mkutano. Wote walisafiri Morogoro nabaisikeli na walirudi baisikeli (safari ya siku nzima). Walitoa mada na watu wa EWATwaliwapokea vizuri. Elaine amepata picha kutoka EWAT na ataweka kwenye website.Amend na siku ya kuwakumbuka waathirika wa ajali za barabaraniWanachama wa UWABA walishiriki. Picha za watoto walifanya thamthilia ilikuwakwenye magazeti. Elaine ataweka taarifa kwenye website.Fasta Cycle Messenger CooperativeElaine atawasiliana na Bwana Bukuku ili kupata ushauri tufanye mkutano wa pili kivipi.Mejah ana katiba na ina masahihisho mengine – Elaine atawasiliana naye.Wanachama wa kuanzisha Fasta watakuwa – Juma Ali Salehe Jongo, Filbert Mbecha,Paulo Hatibu, Kibwana Mohammed Msiga, Husein Hamza Hamisi, Shamte J Kisoma,Hamadi Bwaja, Edgar Paulo, Sosthenes Amlima na Mohammed Samwely.Jax atatusaidia kupata wanachama wa kike.Shirika la eFTe wa Poland walisaidia kuanzisha cycle messenger cooperative huko AddisAbaba Ethiopia na wamesema wataweza kutusaidia kupata fedha za msaada pamoja namtu kusaidia hapa (anaitwa Daria). Elaine aliwasiliana na viongozi wa Fasta na sasaanawasiliana na Daria ilikuandika proposal pamoja. Wanahitaji barua – Elaine aliandaana Filbert atampa Mejah kusaini.Uchaguzi wa 2010Hamadi atafuatalia barua yetu gazeti la Mwananchi.Elaine ataandika barua kuomba mkutano na vyama vya siasa. Elaine atawasiliana naAzzan Zungu kuomba taarifa kuhusu ilani ya uchaguzi,Mikutano na Meya na WaziriSosthenes alifuatalia barua ya Meya kwa Diwani Lupilya na alisema atatusaidia. Filbertalipeleka barua nyingine ofisi ya Waziri ya Miundombinu.

Re-cycleMejah bado anafuatalia namba ya TIN. Elaine atawasiliana na Bwana Gaja kuombamkutano kuhusu Re-Cycle.Wimbo ya EliaTunamsubiri MejahKadi ya benkiFilbert atafuatalia.Hela na gutaDereva wa guta (Ramadhani) alilipa Tsh 25,000 sasa anadaiwa Tsh 23,000.Mejah alipewa hela anayodai ya Tsh 13,000.Mejah na Filbert walienda benki walichukua Tsh 305,000 kama hela ya advance yaArusha.Filbert alitumia Tsh 5,000 kununu photo Arusha.Tulilipa posho ya Juma ya mwezi wa novemba Tsh 20,000.Filbert sasa ana Tsh 503,800 ya hela ya UWABA.Benki kuna balance ya Tsh 215,392.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!