11.07.2015 Views

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

TANROADSElaine aliandika barua ya TANROADS kuomba michoro ya barabara. Wanachamawalisahihisha. Ally Athman ataipeleka.ManispaaElaine aliandika barua ya manispaa tatu kuomba taarifa za mikutano ambayo ni wazi kwawananchi kuhudhuria. Wanachama walisahihisha. Ally Athman ataipeleka.Sustainable CitiesNGO ya Sustainable Cities watakuwa na mkutano kuhusu mradi wao wa mtaa wawatembea kwa miguu wa jumamosi jumatano tarehe 9 Juni. Wanahitaji wawakilishiwawili tu. Mejah na Elaine wahudhuria.Aidha, NGO hiyo inasanya mawazo ya wananchi kuhusu kuboresha jiji. UWABAtutaandika mawazo ya utekelezaji wa sheria kwenye service roads, sehemu kuoga mjini,sehemu za kupaki baisikeli mjini na kuhamasisha wafanyakazi wa maofisi kutumiabaisikeli.Mada ya Dieter SchellingDieter Schelling wa Benki ya Dunia aliandaa mada kuhusu kupunguza msongamanoalitumia, tulisoma kwenye mkutano.Re-cycleTunasubiri Bwana Gaja kurudi kutoka safari ili tukutane naye pamoja na mwanasheriawake.Mradi wa TSCPElaine ataandika mawazo yetu kuhusu barabara za Mbeya na kufuatalia michoro yaDodoma na Mtwara.Mradi wa DART Morogoro RoadEngineer wa DART alitutumia michoro kwa email. Tulipitia na kuchangia mawazo.Tunapenda kujua kila stretch kama njia za baisikeli ni one way au two way. Piatunapenda kujua kila stretch njia za baisikeli zitalinda kivipi. Pia miti itoe kivuli lakiniisizibe uwezo wa kuona mbele na vizizi visiharibu njia.Velo cityElaine anafuatalia visa za Mejah na Filbert kwa simu. Wadhamini walisema hawawezikurudisha hela ya kuomba visa.VictoriaVictoria Wilson volunteer kutoka merekani atafika jumamosi wiki ijayo mchana.WABATANElaine alifanya mabadilisho ya katiba na dondoo.UNDPElaine atafuatalia.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!