11.07.2015 Views

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Elaine atatayarisha barua ya kuomba Ultimate Security watupe ambulance kwa msafara.Mradi wa Wamba - Wiki ya Usalama Barabarani – MbeyaDominata na Sosthenes wamerudi kutoka Mbeya. Walitoa mafunzo kwa wanafunzi 17na pia wamekutana na watu mbali mbali wa umuhimu kwenye mambo ya usalamabarabarani. Walishirikiana na Amend. Sosthenes alisema alilipa Tsh 90,000 kamadeposit ya hema kwa maagizo ya Amend lakini hajarudishiwa. Elaine alisema atafuataliana Amend. Pia mtu wa SUMATRA alilipa Tsh 8,000 kwa ajili ya photos anatudai.Dominata alisoma repoti kuhusu mafanyikio. Watamaliza kuandika repoti kabla yamkutano mwingine.Mradi wa Wamba – semina kwa waalimu wa uderevaJumanne tarehe 6 oktoba tuliendesha semina. Ilienda vizuri – walimu wa udereva sita nawanachama wa UWABA 19 pamoja na Bwana Sempoli wa NIT walihudhuria. Elaineataandika repoti.Matumizi yalikuwa Tsh 169,750 – Chakula na chai Tsh 17,500, Juice Tsh 6,250, Kalamuna daftari Tsh 6,000, posho Tsh 140,000. Elaine alilipa na hela zake binafsi naitarudishiwa baadaye.TangaHussein Hamza alisoma repoti ameyoandika kuhusu safari ya Tanga pamoja na dondooza mkutano wa kwanza wa UWABATAN. Elaine ataichapa na kuweka kwenye website.Katibu wa UWABATAN amewasiliana kwamba wanafuatalia usajili huko lakini ningumu kujua taratibu basi Elaine atatafuta ofisi ya NGOs hapa Dar es Salaam na kupatataarifa sahihi.Amend na siku ya kuwakumbuka wahanga wa ajali za barabaraniKulikuwa na mkutano kuhusu siku ya wahanga jana ijumaa na Mejah na Dominatawalihudhuria kama wawakilishi wa UWABA (Amend walitaka wawakilishi wawili tu).Tutapata dondoo kutoka kwa Amend.Fasta Cycle Messenger CooperativeElaine alimaliza draft ya kwanza ya katiba na aliwapa Filbert na Hamadi wapitie. Piaalipata sheria ya ushirika 2003 kutoka internet ana atasoma na kuona kama kunamabadaliko gani yanatakiwa kwenye katiba. Filbert na Hamadi walipata Mwongozo naElaine alichukua ili kusoma.Uchaguzi wa 2010Elaine atatayarisha barua za maoni ya wanachama kwenda kwa CHADEMA. Pauloataipeleka.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!