12.07.2015 Views

In-Service Training Case Study - SWAHILI 3 (2).pdf - HakiElimu

In-Service Training Case Study - SWAHILI 3 (2).pdf - HakiElimu

In-Service Training Case Study - SWAHILI 3 (2).pdf - HakiElimu

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ekea MatokeoJuni 2010Matangazo ya televisheni na redio yaHakiElimu yanaendelea kuzungumziauwezo wa walimu na kuisihi Wizara yaElimu kutenga Tsh. 60 bilioni kama bajetiya mpango wa TDMS inavyoeleza kwa ajiliya utekelezaji.emba 2010u katika utetezi zaendeleaa kusambaza nakala 40,000tuni, vitabu vya hadithi, nati Elimu na karibu nakalaa ya 2011 kwa wananchi—audhui ya mafunzo kazini.Februari 2011Mafunzo kazini kwa masomo ya Hisabati naKiingereza kwa walimu 156,000 (karibu wote) washule za msingi za serikali yazinduliwa rasmi naWizara ya Elimu!

Kusonga MbeleMasomo YaliyopatikanaMafunzo mawili yanajitokeza kutokana na kampeni hii:1) Mafanikio ni dhahiri pindi utetezi wa moja kwa moja unaposaidiwa na uteteziusio wa moja kwa moja. Utetezi wa moja kwa moja huhusisha kuwasiliana moja kwamoja na serikali, kushawishi maafisa muhimu ili watekeleze mabadiliko unayotakayawepo. Utetezi usio wa moja kwa moja ni kufikisha ujumbe wako kwa serikali kupitianjia mbalimbali za vyombo vya habari na malalamiko ya umma. Kisa mkasa hiki pamojana vingine vinaonesha kuwa njia zote za utetezi zinahitajika ili kuleta mabadilikoTanzania. Kwa miaka sasa, UNICEF imekuwa ikifanya kazi kwa ukaribu kabisa naWizara ya Elimu katika kutengeneza na kupanga mafunzo kazini pamoja na TDMS,lakini utekelezaji umekuwa mdogo. Ni mpaka wananchi waeleweshwe kuhusuchangamoto hizi ndipo serikali ichukue hatua. Kutegemea zaidi utetezi wa moja kwamoja mara nyingi hushindwa kuleta matokeo kwani ni vigumu kuwawajibisha viongozikwa ahadi zilizotolewa katika mikutano ya ngazi za juu inayofanyika kwa faragha, mbalina macho ya umma. Wakati huo huo, matumizi ya vyombo vya habari na uhamasishajiwa wananchi mara nyingi hushindwa kuleta mafanikio bila kuwa na jukwaa la pamojana serikali kujadili vitu mahsusi vinavyohitajika ili kuleta mabadiliko.2) Juhudi za utetezi huwa zinafaa zinapokuwa na ufanisi zaidi na malengodhahiri kuratibiwa na kuendelea hadi malengo yanapofikiwa. Hii inanekanakama ni jambo lililo dhahiri lakini katika sekta ya elimu, ambapo yaonakana matatizohujitokeza kila mwezi, ni rahisi kusahau. Katika mazingira ambayo mambo mengiyanandelea, utetezi unaweza kuonekana kama ni mfululizo wa majibizano badala yampango madhubuti uliopangwa. Malengo mahususi lazima yajulikane na yasisahaulikepindi masuala mapya ya kila mwezi yanapojitokeza. Aidha, jitihada zote zinahitajikuratibiwa ili kuelekea njia moja. Kisa mkasa hiki kilionesha ushirikiano baina yauchambuzi wa sera, kazi ya vyombo vya habari, machapisho ya umma, mtandao wamashirika na sauti za wananchi—zote zikililia mafunzo ya walimu kazini. Katikaulimwengu wa utetezi, kufanya mahitaji yako yashughulikiwe ni kama vile kuwekatundu kwenye ukuta—kuupiga mfululizo na taratibu kwa kutumia kifaa butuhaitasaidia, bali kuweka nguvu za pamoja nyuma ya msumari mmoja itafanikisha.Lakini, tangazo la Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuzindua mafunzo kazinihalisitishi kampeni hii.1) Ufuatiliaji—Lengo ni kuhakikisha mafunzo kazini yanatolewa. Hivyo kazi iliyopo mbeleyetu ni kufuatilia utekelezaji wa programu hii. Je, walimu 156,000 watapatiwa mafunzoya ziada? Yatakuwa ya ubora gani? HakiElimu itaendelea kufanya kazi na Marafiki waElimu na wabia wengine kufuatilia ili kuhakikisha kuwa si tu mafunzo yanatolewa ilayanakuwa ya ubora utakaohakikisha elimu bora kwa wanafunzi wa shule za msingiTanzania.2) Vituo vya Walimu—Lengo la mafunzo kazini ni kuwa la kila mara na lenye kuendelea.Ingawa mafunzo kazini yatatolewa, yatafanyika katika vyuo vya ualimu na si vituo vyawalimu (TRC). Hii inaweza kuwa ni dalili kwamba mafunzo kazini yanachukuliwa kuwani kama juhudi za muda mfupi na si zoezi linaloendelea. TRC hazina budi “zifufuliwe nakuimarishwa,” kwa mujibu wa TDMS, ili mafunzo kazini yapatikane karibu na mara kwamara. Jitihada za utetezi zitaendelea hadi TRC ziwe na uwezo wa kutoa mafunzoendelevu.3) TDMS—Mafunzo kazini ni sehemu tu ya jitihada za kurejesha ubora wa ufundishaji.HakiElimu, Marafiki wa Elimu na wabia wake wataendelea kutetea utekelezaji kamilizaidi wa vipengele vingine vya TDMS ili kuhakikisha kunakuwa na walimu bora kabisakwa watoto wa Tanzania.HakiElimu inawezesha wananchikuleta mabadaliko katika elimuna demokrasia.SLP 79401 ● Dar es Salaam ● TanzaniaSimu (255 22) 2151852/3 ● Faksi (255 22) 2152449info@hakielimu.org ● www.hakielimu.org

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!