Attention! Your ePaper is waiting for publication!
By publishing your document, the content will be optimally indexed by Google via AI and sorted into the right category for over 500 million ePaper readers on YUMPU.
This will ensure high visibility and many readers!
Afande, tafadhali tuskize tu, tunaomba kwa upole. Afande, badala ya vijana kuonewa hivi, tungekuwa tunafanya kazi pamoja kumulika hawo wagondi mnatafuta... Kwa nini mnakuanga vichwa ngumu vijana? Sasa kupeana simu pia ni vita? Alafu tukiwa-arRest mnateta?! ComMunity policing afisa. Sisi hatuna ubaya Shida yenu vijana ni kuwa huwa mnakusanyika ovyo ovyo hadi mnakaA ma-suspects... MnafaA kufanya vitu za maAna na lives zenu. Hamtaona tukiwafunga... eh? wewe ni nani? excuse me! naitwa deEpti. nataka kujua mbona boyie ameshikwa! sikuUliza jina yako! nauliza wewe ni nani kwa hii nchi? chenye mnafanya hapa si halali! watu wameshikwa wako na rights! hamuwezi mkafanya tu chochote mnataka! kulingana na sheria, mtu ameshikwa lazima aAmbiwe, kwa lugha anaelewa, mbona ameshikwa. mbona umeshika boyie? madam huwezi nifunza kazi yangu! hawa walikuwa tu kwa barabara, lazima walikuwa wanapanga ujambazi! si ati kukufunza kazi yako! ni sheria ukitaka nikuonyeshe kwa simu, article 41 ya katiba. ona... 22 phewks! heh! na huyu ni mjuaji kweli!