08.08.2016 Views

Chapter 78

Female marine pilot wa kwanza kenya. Cheki stori yake venye ame'make it kwa industry wasee wengi wanafeel ni ya wanaume..

Female marine pilot wa kwanza kenya. Cheki stori yake venye ame'make it kwa industry wasee wengi wanafeel ni ya wanaume..

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

2

Eti bro ya maria ana kichwa big hadi akiingia kwa matatu anaagiza

alipe kwanza ya kichwa mwili ni dscount..- georgy Gabriel

ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati

wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

3

4

kueka picha dactari kwa keja,ili maumivu yakizidi umuone

dactari-anto Amasa//Linah from Taita - we n mref adi ukifanya

ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati

wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

5

6

ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati

wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati

wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

7

8

koxa mungu anakupga ngoto//wewe hupenda kudish chakula

kwubwa na nyingi hadi ukipewa chache unadai kutumia hand

lens ndo udish//Dj B ati budako ni fala first time yake kupanda

ndege alisema shukisha apo junction.. by Royal Ambani//Ujiga

9

10

Hayawi Hayawi Huwa!

ni Ku complain Ati Dawa Ya Meno Iki Pada Na Ww N Kipokoyo//

Baba ako ni fala alipeleka mbuzi kwa dentist ati inglewe Blue-

11

12

tooth//dj b wewe unakichwa big hadi ukiturn round mwili inaping

turn mara mbili...hahah hauniwezi DJ B...BIG UP!

h, nawe! bado uko

kwa hayo mambo ya cd?

si nilifikiri tulisha tatua

mwaka jana?

Maria eti wewe uko mfupi hadi ukitaka kusmamisha gari unachuna

gurudumu..- georgy//Victoria ni mrefu hadi anaweza

13

14

paka rangi kwa mawingu – georgy//Victoria ni mweusi hadi giza

inamwambia manze wacha kuniaribia fashion... – georgy//Eti

MAONi YAKO Ni YEpi kuhusu Musa

anavyo mchukulia sarah? Tuma maoni kwa

20308 ukianza na neno “jyamusa” na

unaweza jishindia ksh 1000.

kutuma sms ni sare!

15

16

Gadafi Nyaeri Djb ati first tyme yako kwenda church uliulzwa kama

unajua yesu ukadai eti”mm bado nmgeni hapa bado sjui watu wote

17

18

Spicy Bae!

unajua mi

hupenda kuongea

na madem

wana-do job

hapa... kuhusu

machali...

kaA hapa

uniambie...

nimeona

relationships

ziki-fail hata

kabla zianze. na

ninajua wewe

unatafuta...

eh,

mama stacey...

unajua nafaA

kukunja hizi

towel zote!

najua unahepa

hii convo!

umenipata!

hii game si

unaijua!

yes,

kaA hapa!

sasa ebu

niambie...

uko

m-young,

single,

spicy...

hehe!

acha za

hizo!

ninajua

mob kukuhusu,

nikikushow

utashangaA!

hii mambo

yote

kunihusu

uliju aje?

house ya kina Maria imejengwa na sembe hadi wakora wakija

wanasema fungua ama tulete mboga...- georgy//

19

jana ukiongea na

maria kim nilikuwa

pale nyuma. nilisikia

kila kitu!

what? aki wewe!

napenda venye uko

m-frank.

ni juU

naku-like.

tena kwa sababu

yako ma-boys wengi

wana-come hapa

kucharge simu zao...

haha!

kusema

kweli natamani

ku-meEt

mr. right!

naogopa

ku-setTle na mtu

hatakuwa

comMitTed.

aki usitafute

tena. mimi bae

wako niko hapa!

chuxX!!

kama una kitu ya

kusema ingia hapa na

useme face to face

kama mwanaume!

20

Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.//

Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati”

eh...

ah...

ku-charge

simu ni

15 bob...

unaeza

niwekea haka

kasimu kangu

kwa charger?

15 bob

pekeE?

eh... nilikuwa

na pesa hapa...

unaeza chukua

credit card ya

ghetTo? siku hizi

sibebi cash...

haha! chuxX

unanichekesha!

ah, mama stacey

nawe, kunianika!

huwa ninalipa na

card!

lily weka simu

yake kwa moto.

yeye huwa

simlipishi.

unaona sasa?

ku-get chali

mpoa sio

rahisi.

kuna huyu

mseE nimekuwa niki

date, but sidhani ako

ready ku-setTle.

simuelewi aki! ako na

bizna poa, boutique

ya kuUza manguo...

lakini macho zake

hushinda tu kwa kila

dem anapita!

ukitaka kujua

kama ako ready

kusetTle, cheki kama

ako keEn kukuprotect

kutoke vitu

ka diseses na mimba

unexpected..

Rabex Cynthia kwenyu mko wengi adi ikfka tym ya fudi mnakol

regsta kwanza . macho zako n red adi zinaivisha nyama!

21

saja, uki-get

cd kwa bag yangu

uta-react aje? vi

honest...

ati?!

wewe na

cd?!

kama hivo

ndio ali react,

ah-ah. kama mseE

hayuko tayari

kuku-protect,

huyo sio marRiage

material!

baAda ya wiki

moja hivi...

22

malaika...

...nakupenda...

...malaika...

...nami

nifanyeje...

...ningekuoa

malaika...

haiya!

saja!

najua mi ni

ex wako, lakini roho

imekataA kukuacha!

nime-invite hawa watu

wote ndio

niku-surprise!

Lily, wilL

you marRy

me?

eEeh...

aAah...

Relationship

yako inaweza kuwa

afFected aje kama your

plus one ako against

mambo ya protection?"

Text maoni yako kwa to

20308 ukianza na word

#SpicyBae na unaeza

shinda ksh. 1000.

Ku-text ni freE.

23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!