05.01.2013 Aufrufe

Kiu East African Publishing House, Nairobi ... - Swahili-literatur.at

Kiu East African Publishing House, Nairobi ... - Swahili-literatur.at

Kiu East African Publishing House, Nairobi ... - Swahili-literatur.at

MEHR ANZEIGEN
WENIGER ANZEIGEN

Erfolgreiche ePaper selbst erstellen

Machen Sie aus Ihren PDF Publikationen ein blätterbares Flipbook mit unserer einzigartigen Google optimierten e-Paper Software.

Bahati fühlt sich im Spital sehr einsam, hat aber Gelegenheit, über ihr Leben

nachzudenken. Idi besucht sie nur einmal und auch das ohne jegliche innere Anteilnahme.

Als Bahati aus dem Spital entlassen wird und nach Hause kommt, findet sie eine neue

Köchin im Haus.

“Jina lako nani?” aliuliza Bahati.

“Mwajuma, bibi,” alijibu kwa heshima, na kugoteza kichwa.

Alipokuwa akisaidiwa kupanda ngazi, kwapa yake chini ya bega la yule kijana, Bahati

alijua kuwa amepata mpishi mwenye afya.

Alimpa ruhusa ya kuingia chumbani kwake. Kila kitu kilikuwa kimetulia mahali pake,

kama alivyokiacha. Aliangaza mote, akahisi ukunjufu, kama aliyemaliza safari ndefu yenye

machofu. Angemkuta Idi, angefurahi zaidi, lakini ah, hakutaka kujitia mawazoni. Ingawaje,

alikuwa amekwisha pona, na sasa alikuwa kwake. Alijibadili nguo, akasimama dirishani na

kuvuta hewa ya Buraha yenye harufu ya bahari. Alichangamka.

Lakini alipokuwa akipuna nywele kiooni, kilimjia kijambo kikamtia wasiwasi. Yule

Mwajuma ni nani? Mbona aliikumbuka sura yake? Alimwona wapi...wapi vile? Alivuta

fikira, akasahau shanuo kichwani...wapi? Ndiyo...alimwona mahali, lakini mahali gani?

Aliondoka akakokota mguu wake mpaka ukingo wa ngazini akachungulia na kumwita,

“Mwajuma!”

“Labeka, bibi,” aliitika na kuja mbio.

Bahati alimwangalia vyema alipokuwa akipanda ngazi - nani yule?

“Mwajuma binti nani?”

“Binti Hatibu, bibi.”

“Unakaa wapi?”

“Kibuhuti, bibi.”

“Unakuja kwa miguu maili tatu?”

“Bwana Idi ananipa nauli ya gari, bibi.”

Ile sura sasa ilizidi kumwelea. Sasa sauti na heshima kama ile aliikumbukia pia ... lakini

wapi? Hapakutaka kumjia. Alipavuta ... alipavuta ... ng'o?!

“Unao ndugu wazaliwa nawe?”

“Ninao, bibi.”

“Pacha?”

“Wadogo zangu, bibi: wane wanawake, watatu wanaume, sote halisa.”

Alipokwisha kumjasusi kwa macho alimpa ruhusa, yeye akaingia chumbani huku akifikiri.

(Uk. 122-123).

Langsam beginnt Bahati Mwajuma zu erkennen: diese war die Haushälterin von Mzee

Mwinyi. Bahati ist fassungslos. Sie erkennt die Gefahr, die auf sie zukommt. Hat Idi

Mwajuma bewußt angestellt?

26

Hurra! Ihre Datei wurde hochgeladen und ist bereit für die Veröffentlichung.

Erfolgreich gespeichert!

Leider ist etwas schief gelaufen!