29.08.2015 Views

Muhtasari Jumuishi – Tathmini ya Athari za Kimazingira na Kijamii ...

Muhtasari Jumuishi – Tathmini ya Athari za Kimazingira na Kijamii ...

Muhtasari Jumuishi – Tathmini ya Athari za Kimazingira na Kijamii ...

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Muhtasari Jumuishi – Tathmini ya Athari za Kimazingira na Kijamii

Za Kiwanda cha Magadi Soda katika Ziwa Natron ukurasa - 3 -

1.2 Uhalali wa Mradi

Maeneo matatu yanatoa msukumo wa upatikanaji wa Magadi Soda. Kwanza ni eneo la Vioo,

ambalo linasukumwa zaidi na eneo la Magari na Miundombinu (ikijumuisha ya biashara na

makazi). Pili ni eneo la Sabuni, ambalo linasukumwa na kiwango cha ongezeko la Zao Ghafi la

Ndani na ongezeko la matumizi ya kila mtu. Sehemu ya tatu inayotoa msukumo wa mahitaji ni

Tasnia ya Kemikali yenyewe.

Ongezeko kubwa katika matumizi ya magadi soda katika mwongo uliopita limejitokeza katika

nchi zinazoendelea, ambazo kimsingi zinajumuisha nchi zinazoendelea na zile zinazoanza

kuinukia kiviwanda ambazo zina kiwango cha chini cha matumizi ya magadi soda kwa kila mtu.

Matumizi ya magadi soda katika nchi zinazoendelea yamefikia wastani wa asilimia ±5.5 katika

kipindi cha 2000-2004 ikilinganishwa na mahitaji ambayo hayakuongezeka huko Amerika

Kaskazini na Ulaya Magharibi.

2 MAELEZO KUHUSU MRADI UNAOPENDEKEZWA

Kwa ujumla wastani wa kilometa za mraba 1.5 za ardhi zitahitajika kwa ajili ya kiwanda na

makazi, pamoja na uboreshaji wa barabara ya kutoka Mto wa Mbu. Muhtasari (Jedwali 1) hapo

chini unaonyesha mahitaji na uwezo wa uzalishaji unaotarajiwa katika Kiwanda cha Magadi

soda.

Jedwali 1: Muhtasari wa Miundombinu

Wafanyakazi

Idadi ya wafanyakazi wa kudumu: 152

Idadi ya wafanyakazi wa ujenzi 1,225

Mahitaji ya Ardhi

Ardhi kwa ajili ya kiwanda na Kilometa za mraba 0.5

ujenzi

Ardhi kwa ajili ya makazi Kilometa ya mraba 1

Mahitaji ya barabara barabara ya lami ya upana wa mita 7

Mahitaji ya Raslimali

Maji ya magadi kutoka Ziwa

Natron

Mita 561za ujazo kwa saa

Maji safi kwa ajili ya kuendeshea Mita 106 za ujazo kwa saa

mitambo

Maji safi kwa matumizi ya Mita 23 za ujazo kwa saa

nyumbani

Umeme kwa ajili ya kiwanda Megawati 11.5

Mkaazimwe, makaa ya mawe na Tani za kimetriki 21 kwa saa

chokaa (Bwela)

Asidi Salfuriki

tani 0.552 kwa siku

Magadi

tani za kimetriki 0.1 kwa siku

Mafuta ya kulainishia

lita 145 kwa mwezi

Dizeli (kwa ajili ya pampu za Kg 9 kwa saa

maji)

Uzalishaji

Tani za Magadi soda kwa tani za kimetriki 500,000 kwa mwaka

saa/mwaka uzalishaji kwa saa 24

Mazao ya ziada na vichafuzi

Maji yaliyotolewa magadi na

kurudishwa ziwani

Tani za kimetriki 476 kwa saa

Tope laini

Tani za kimetriki 93 kwa saa

Takajivu kutoka kwenye bwela

Tani za kimetriki 5 kwa saa

SO2 iliyotolewa kutokana na haijulikani

RASIMU

Juni 2007

Norconsult

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!