21.10.2015 Views

Chapter 38

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Facilites

zime-change, hakukuwa

na lab but saa hii kuna lab,

hakukuwa na H.I.V. testing but

sasa kuna container imekam ya

H.I.V. testing, simiti ikapigwa kwa

grounds hadi saa hii inakaa

hosi.

Sasa wameweza kujenga wall poa na gate juu ya

watoi ku-get access kwa madawa na masindano zile

zimetumiwa.

Haugopi

kuvunjwa juu

ya kuwa

radical?

Nikitoka kwa nyumba

nikienda nilikuwa najua

kuna vitu hazita-work...

Najua hii ni shimo na hii ni

njia. Nikijua hivyo naeza

hata postpone hadi kuwe

safe kuleta noma. Me

hu-postpone mara ka tatu

but ya nne lazima

iingiane.

15

Man idea zako niza power & kama vijana lazima tu-keep amani natuvotie leaders

wa kutenda wala si wakubonga tu. Jackson Sore

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!