31.05.2013 Views

…d'ora in poi tutti ti chiameranno BEATA - Suore di Carità dell ...

…d'ora in poi tutti ti chiameranno BEATA - Suore di Carità dell ...

…d'ora in poi tutti ti chiameranno BEATA - Suore di Carità dell ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kwa hakika moyo umesheheni shukrani. Tarehe 2 Oktoba, 2011

kule Ivrea, tulikuwepo hata sisi kuimba utenzi wa Bikira Maria,

wakati kitambaa cheupe kilichokuwa kimening’inizwa mbele ya

Altare kufunika Picha ya Mwenyeheri Mama Antonia Maria Verna,

kilipokuwa kinafunuliwa taratibu; lakini sisi tulikuwa kama

wawakilishi wa ule umati ulivo sehemu mbali mbali za dunia au

mbinguni ambao walifaidi ile zawadi kubwa ambayo Mwenyezi

Mungu ametukirimia hapa duniani.

Kwa hakika hapo tarehe 2 Oktoba, 2011, kulikuwa na “bahari ya

watu”. Umati huu ulimezwa na ule uzuri wa utakatifu wa maisha;

unyenyekevu unaookoa, uzuri unaobubujika kutoka kwa Kristo

Msulubiwa unaoenea kwa kila kiumbe kinachokubali mabadiliko

ya upendo wa Kristo Msulubiwa na hivyo, kuwa ni kielelezo cha

mwanga angavu wa kuwa mwema na mwenye furaha kwa ajili ya

Mwenyezi Mungu na kwa kuwa Mtakatifu.

Mama Antonia Maria Verna amepata wapi nguvu hii? Katika

maisha ya sala, sadaka na ushuhuda wa maisha. Dunia ina kiu ya

watakatifu, ya watu ambao wanang’ara kwa uwepo wa Mungu katika

maisha yao; ili kuzima kiu ya mwanadamu wa leo anayemtafuta

Mungu, uzuri wa maisha, ukweli na upendo mkamilifu.

Wito wetu kama wote waliochaguliwa katika Yeye ni huu “kuwa

watakatifu, watu wasiokuwa na hatia mbele zake katika pendo”²

Mama Antonia anatusaidia kwa sababu anafahamu njia za utakatifu,

maisha na uzuri.

1 Lk. 1:48

2 Ef. 1:4

SCIC

Gioia e festosi

saluti alla

fine della

celebrazione.

7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!