19.06.2014 Views

Masuala Yaliyojadiliwa - Coastal Forests of Kenya and Tanzania

Masuala Yaliyojadiliwa - Coastal Forests of Kenya and Tanzania

Masuala Yaliyojadiliwa - Coastal Forests of Kenya and Tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

REMP Technical Report 38 Muhitasari wa Majumuisho ya warsha ya utawala bora Twasalie, Rufiji

• Takwimu muhimu za kijiji ziwekwe ubaoni ili kila mwanakijiji pia na wageni wazione kwa urahisi

na kuzifahamu.

• Taarifa zote ziwekwe mapema ili kila mmoja azipate mapema, kwa wakati unaofaa ili aweze

kujiandaa kikamilifu.

• Majina ya viongozi Mwenyekiti, Katibu na wataalamu waliopo kijijini yawekwe kwenye ubao ili

yafahamike kwa wote wakiwemo wageni.

• Taarifa za mikutano na ugeni wowote vibandikwe ubaoni ili kila mwanchi ajue mambo

yanayoendelea kijijini.

• Safari za kikazi za mwenyekiti, katibu na kamati mbalimbali yabandikwe ubaoni. iIli wananchi

wajue.

Maandishi kwenye ubao lazima yaonekane wazi kwa wasomaji na pia yawe makubwa ili yasomeke

kirahisi.

Washiriki walijadili na kuona kuwa iwapo ubao wa matangazo ukitumika ipasavyo utawezesha kuboresha

mapungufu yaliyopo katika uongozi wao.

5.8 Uwezo Kutatua Matatizo.

Wanavijiji wajifunze kutoka kwa wanavijiji wengine jinsi ya kutatua matatizo yao. Hivyo kijiji kiwe na

vikao vya mara kwa mara vya kujadili na kutafuta sababu na ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili, na

kupima kama uwezo wao utawawezesha kutatua matatizo hayo.

12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!