Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Marafiki na Majirani 2

Majirani wamekuwa wakisikia kelele kutoka nyumbani kwenu. Wanakutazama kwa shaka kila

wanapokuona. Wanaona majeraha na uvimbe. Mke na mume kutoka mlango jirani wanaposimama

kuongea na wewe wanakuuliza umemfanyia nini cha kumkasirisha Davinder. Unajaribu kuwaelezea

kwamba amekuwa na wivu pasipo sababu yoyote. Wanashindwa kuelewa kwa sababu siku zote

Woga wako unakufanya uwaombe wakisikia tena makelele waje washuhudie kwani unaogopa huenda

akakufanyia jambo baya. Mwanaume anajibu hawezi kuingilia mambo binafsi ya mwanamume

kisirisiri anakushauri utafute ushauri wa kisheria, akiongezea kwamba kwa ajili ya watoto wako

inabidi ujihakikishie usalama. Huna fununu uanzie wapi kutafuta ushauri wa kisheria, kwa sababu

waweze kukusaidia.

Ikiwa unaamua kutafuta ushauri wa kisheria, nenda kwenye Huduma za Kisheria na uchukue kadi

namba 1.

Ikiwa unaamua kwenda kwa wazazi wako kuomba msaada, nenda kwenye Familia na uchukue

kadi namba 2.

Hadithi ya Sarah B6