Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Hadithi ya Sarah

Utambulisho

A1
Utambulisho

Jina langu naitwa Sarah. Nina umri wa miaka 38 na nina biashara ndogo ya kuuza nguo za wanawake.

Duka langu liko karibu na jengo tunalomiliki mimi na mume wangu, Davinder. Maisha yangu ya

kipindi cha nyuma hayakuwa mazuri kama yalivyo sasa. Wazazi wangu wanaishi karibu na mtaa ovyo,

pembezoni mwa jiji. Siku zote wamekuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini pesa wanazopata hazijawahi

kukidhi mahitaji yao kwa kiwango cha kutosha.

pamoja na binamu yangu. Tulipendana tangu tulipoonana kwa mara ya kwanza. Hakuona aibu

walimpenda sana, na mama yangu aliniambia nisipoteze fursa hiyo kwa sababu sio wavulana wengi

wa kada yake wanaweza kupenda kuoa msichana masikini kama mimi. Aliniomba niwe mchumba

wake. Japokuwa nilikuwa bado mdogo, lakini maneno ya mama yangu yalipenya masikioni mwangu.

Tulifanya harusi kubwa sana na wazazi wangu walipokea zawadi nyingi.

Davinder alikuwa na sifa zote nilizotamani mume wangu awe nazo. Alikuwa mwema, na alinipeleka

kufanya. Hapo ndipo nilipomwelezea Davinder mpango wangu wa kuanza biashara. Aliniunga mkono

kutekeleza mpango wangu huo. Tulinunua eneo na muda si mrefu nilipata na wateja wengi sana

kwenye dukani langu baada ya wao kupashana habari kuhusu nguo nzuri nilizouza. Nilivaa nguo

mrembo na jinsi biashara yangu ilivyoendelea vizuri. Mwanzoni mume wangu aliyafurahia sana,

lakini kadri nilivyozidi kuwa maarufu na wateja walivyozidi kuongezeka, alianza kuwa na wivu.

Hapo ndipo mambo yalipoanza kunipindukia…

Hadithi ya Sarah

B1
Hadithi ya Sarah

Ukatili Watokea 1

A2
Ukatili Watokea 1

Mtazamo wa Davinder juu yako na kazi yako unaendelea kubadilika. Anakwambia hakuna sababu

ya wewe kuvaa vizuri na kuonekana mrembo unapokuwa kazini kwa sababu biashara imekwisha

shamiri. Unamwambia kwamba ni vizuri kuonekana maridadi na kwamba kuvaa vizuri kunakufanya

wewe mwenyewe ujisikie vizuri. Anapokulaumu kwamba una mahusiano mwanamume mwingine,

unadhani anakutania.

Davinder anaendelea kuja dukani kukutama mara kwa mara tena bila taarifa, anakagua simu yako

na kukagua matumizi yako ya pesa. Hali hii inakera, lakini unapomwambia aache kufanya hivyo,

anakwambia yeye ni mwanamume na ana haki ya kufanya vyovyote anavyojisikia kufanya. Hofu

unabaki ukiwa hujui nini cha kufanya na unajihisi kukataliwa. Unajaribu kununua nguo za ndani

namba 1.

Ikiwa unataka kuomba ushauri kutoka kwa wazazi wako, nenda kwenye Familia na uchukue kadi

namba 1.

Hadithi ya Sarah B2
Hadithi ya Sarah

Marafiki na Majirani 1

A3
Marafiki na Majirani 1

kuona dhahiri kwamba huko kawaida kutokana na jinsi ulivyopunguza uzito wako. Wanakwambia

umebadilika sana na umepoteza kunawiri kwako. Unawaambia kwamba mume wako amebadilika;

unatembea na mwanamume mwingine. Wanashtuka kwa sababu wanakufahamu vizuri uaminifu

wako.

Wanakushika mkono na kusikiliza uchungu ulionao. Wanakwambia ni wanawake wachache sana

cha kawaida kwa wanaume na kwamba hali itabadilika muda si mrefu. Mwingine anathubutu

kuangalia maisha yao wenyewe. Mmoja wao hafanyi kazi zaidi ya kubaki nyumbani na kulea watoto;

mwingine anafanya kazi na anapaswa kulipa kodi ya nyumba, ada za watoto na kugharamia mahitaji

ya chakula; na mwingine ana mume ambaye si mwaminifu – hivi majuzi akiwa amemleta nyumbani

mtoto wa nje ya ndoa. Ukilinganisha na wao, maisha yako sio mabaya. Lakini huwezi kujua kesho

yake itakuwaje…

Hadithi ya Sarah B3
Hadithi ya Sarah

Familia 1

A4
Familia 1

furaha isiyo na kifani kwa kukuona na anapenda kujua kila kitu kuhusu wewe na biashara yako.

Anaongea na wewe huku anaandaa chai na anapanga vitu sebuleni ili paonekane nadhifu. Baada

ya kujadilia juu ya watoto pamoja na afya ya baba yako, anakuuliza kuhusu Davinder, jambo ambalo

linakufanya kuhisi vibaya.

kuwa na wanaume wengine. Unaelezea jinsi ambavyo hataki mshiriki ngono naye, hana muda wa

kukaa na wewe wala watoto wake. Mamako anakukata kauli, “Kwa sababu ya kuwalinda watoto

wasiwasi juu yako kwasababu anakupenda. Hivyo, nakusihi, nenda nyumbani ukaandae chakula cha

jioni. Na uhakikishe hufanyi jambo lolote la kumkasirisha mumeo.”

Hujisumbui kumjibu kwa sababu mama yako anaamini bado mnaishi maisha mazuri ya kawaida

gari na pia kuwa na watoto ambao wanasomea shule za mijini.

Kwa kuyaangalia maisha yako kwa mtazamo wa wazazi wako, unarudi nyumbani ukiwa unamshukuru

Mungu kwa yote, lakini hisia hiyo haidumu kwa muda mrefu…

Hadithi ya Sarah B4
Hadithi ya Sarah

Ukatili Watokea 2

A5
Ukatili Watokea 2

la cha jioni na kutotaja mambo ya kazi wala kuvaa mavazi mazuri mbele ya Davinder. Mume wako

mnatazama taarifa ya habari, unapokea simu kutoka kwa mteja wako mmoja wa kiume. Kwa hasira,

kesho yake jioni ambapo anaichukua simu yako na kuigonga ukutani. Anakwambia wewe huna

maana, ulikubali kuolewa naye kwa sababu ya pesa zake. Anakukokota chumbani na kukusukumiza

juu ya kitanda. Unajaribu kujikwamua lakini anakukandamizia kitandani na kukulazimisha kujamiana

wakikuuliza baba yao kaenda wapi. Anarudi baada ya siku chache akiwa na shada la maua na

anakuomba msamaha. Anaahidi atakuwa baba na mume bora daima na anawaonyesha watoto

ukarimu wa kila namna. Unapata wasiwasi sana kwa vurugu zake lakini hujui hata ufanye nini.

namba 2.

kadi namba 1.

Ikiwa unataka kumpa Davinder fursa nyingine, nenda kwenye Songa Mbele na uchukue kadi

namba 1.

Hadithi ya Sarah B5
Hadithi ya Sarah

Marafiki na Majirani 2

A6
Marafiki na Majirani 2

Majirani wamekuwa wakisikia kelele kutoka nyumbani kwenu. Wanakutazama kwa shaka kila

wanapokuona. Wanaona majeraha na uvimbe. Mke na mume kutoka mlango jirani wanaposimama

kuongea na wewe wanakuuliza umemfanyia nini cha kumkasirisha Davinder. Unajaribu kuwaelezea

kwamba amekuwa na wivu pasipo sababu yoyote. Wanashindwa kuelewa kwa sababu siku zote

Woga wako unakufanya uwaombe wakisikia tena makelele waje washuhudie kwani unaogopa huenda

akakufanyia jambo baya. Mwanaume anajibu hawezi kuingilia mambo binafsi ya mwanamume

kisirisiri anakushauri utafute ushauri wa kisheria, akiongezea kwamba kwa ajili ya watoto wako

inabidi ujihakikishie usalama. Huna fununu uanzie wapi kutafuta ushauri wa kisheria, kwa sababu

waweze kukusaidia.

Ikiwa unaamua kutafuta ushauri wa kisheria, nenda kwenye Huduma za Kisheria na uchukue kadi

namba 1.

Ikiwa unaamua kwenda kwa wazazi wako kuomba msaada, nenda kwenye Familia na uchukue

kadi namba 2.

Hadithi ya Sarah B6
Hadithi ya Sarah

Huduma za Kisheria 1

A7
Huduma za Kisheria 1

Hujawahi kumtembelea mwanasheria hapo awali. Unaenda sehemu ambayo mke wa jirani yenu

kuna mlinzi. Ni mkarimu na anakuruhusu uingie bila kukawia.

Kwa sababu hukuwa na ahadi naye, unakaa kwenye mahali pa mapokezi ukisubiri kwa wasiwasi

na anakwambia usubiri kidogo. Anachukua muda mrefu sana bila kurudi, na unakaa ukimsubiri kwa

wasiwasi kubwa kiasi cha kutaka hata kutoroka uondoke.

Unamuomba akufafanulie maana ya hayo, lakini anakupa makaratasi ukasome wewe mwenyewe na

naye kama hujatoa taarifa. Akikutazama kutoka juu mpaka chini, anakwambia sio kazi rahisi na

liwezekanalo kujilinda, lakini kwa sasa unaweza tu kwenda nyumbani ambako unatumai utakuwa

salama…

Hadithi ya Sarah B7
Hadithi ya Sarah

Kazi 1

A8
Kazi 1

wanapoona baba yao ameanza kurudi nyumbani akiwa amelewa. Hali ya kukosa amani inamwathiri

ashughulikie mambo yote, huku wewe unakaa chini kuwazia jinsi ya kukuza biashara yako. Unaamua

zaidi kwenye kazi yako. Unatunza nyaraka zako vizuri na kuzifungia nyumbani na Davinder haoneshi

kuhisi chochote. Muda si mrefu wateja wako wameongezeka maradufu, na unaanza kupata faida

kubwa.

Kwa sababu hukusoma sana, unamuuliza jinsi ya kuweka akiba mteja wako mmoja ambaye anafanya

kazi ya uhasibu na mara nyingi hununua nguo na zawadi nyingi kwa mke wake na bibi yake. Anakubali

kukutana na wewe ili akusaidie kuhusu jinsi ya kutunza pesa zako, na kwa muda wa juma moja tayari

siri. Tabia yake bado haiaminiki, anaendelea kulala nje kwa siku kadhaa na hivyo faraja yako inakuwa

kwa sababu huna uhakika juu ya yale yatakayojiri siku zijazo…

Hadithi ya Sarah

B8
Hadithi ya Sarah

Familia 2

A9
Familia 2

jinsi ambavyo wivu wa mumeo umegeuka kuwa vita ndani ya nyumba na kwamba hata watoto

wanamwogopa. Wanajitahidi kadri wawezavyo kukufariji na baba yako anakwambia kwamba

yako anapiga ngumi mezani na kukwambia kwamba haiwezekani ufanye hivyo. Anasema kwamba

Davinder ni mwanamume tajiri na kwamba hawana uwezo wa kurudisha mahari yake aliyokulipia.

Davinder atakana kila kitu, au atakukasirikia zaidi kwa kuwahusisha wanafamilia.

Ukitazama ndani ya nyumba ndogo ya wazazi wako, unajivuna kuona samani na zawadi nyingi

ambazo wazazi wako wamepata tangu ulipoolewa, na moyoni mwako unakiri kwamba ni kweli

Kwa mazungumzo uliyofanya na wazazi wako unagundua kwamba hawawezi kukusaidia kutatua

Ikiwa unaamua kutafuta ushauri wa kisheria, nenda kwenye Huduma za Kisheria na uchukue kadi

namba 1.

Ikiwa unataka kwenda kwenye Shirika Lisilo la Kiserikali linalosaidia wanawake, nenda kwenye

Shirika Lisilo la Kiserikali na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Sarah

B9
Hadithi ya Sarah

Shirika Lisilo la

Kiserikali 1

A10
Shirika Lisilo la Kiserikali 1

unatumaini mambo yatakuwa mazuri.

“Habari?” unauliza, hata huelewielewi nini kinaendelea. “Sawa, nikusaidieje?” mwanamke

anakuuliza bila kuinua macho kukutazama, huku akiendelea kutazama kwenye kompyuta na kufanya

ya vipeperushi na kufanya miadi uje kwenye siku nyingine. Unamuuliza huduma gani zinatolewa

hapo, lakini anakukata kauli na kuashiria mkono wake kwenye kipeperushi, “Huduma zetu zote ziko

hapa. Tafadhali yasome haya na kisha unipigie simu.” Unavunjwa moyo kwa haraka aliyonayo na

unamshukuru huku ukigeuka na vipeperushi vyako na unaondoka zako.

mwanasheria.

Nenda kwenye Huduma za Kisheria na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Sarah B10
Hadithi ya Sarah

Songa Mbele 1

A11
Songa Mbele 1

Unajihisi kama mgeni ndani ya nyumba yako mwenyewe ukipitapita hapa na pale, ukijaribu

kumfurahisha Davinder na kujiepusha kumkwaza. Unajifunza kuzisoma hisia zake mara tu anapoingia

na kuhakikisha watoto wako salama.

Biashara yako polepole inaanza kuporomoka kwa sababu huwezi tena kukaa masaa mengi kwa

mauzo ya dukani na wala kuleta bidhaa za matoleo mapya. Umelazimika kumwajiri msaidizi awe

wako. Wateja wako wanalalamika kwamba hawakuoni sana, na unaacha kutengeneza nywele zako

cha kulalamikia na tayari ameshaanza kukukumbusha kwamba ulitoka kwenye ufukara, na angetaka

angekurudisha kwenu.

Maneno haya yanachoma moyoni, lakini unajitahidi kuyavumilia, na unamshukuru Mungu kwamba

zaidi hadi…

Hadithi ya Sarah B11
Hadithi ya Sarah

Ukatili Watokea 3

A12
Ukatili Watokea 3

kwamba wasije wakaathirika na hali mbaya ya hisia za baba yao. Pia unatumaini kwamba huenda

mkibaki peke yenu mtarejesha mapenzi ambayo awali mlifurahia wewe na Davinder.

Jioni moja, unarudi nyumbani ukiwa umechelewa kwa sababu ulikuwa unahudumia mteja. Unanywea

unapoona gari la Davinder tayari limeegeshwa ndani, unahofu sana na unajiandaa kwa tuhuma

hali nzuri. Hata amemwambia likizo msaidizi wa nyumbani. Akiwa anapika chakula ukipendacho,

anakukumbusha viapo vya ndoa ambavyo mliapa na anakupa mahaba matamu usiku huo.

Asubuhi yake unaamka ukiwa umechelewa. Unajinyoosha kwenye mwanga wa jua, huku ukikumbuka

na unaona vitu vyote vilivyokuwa kwenye mkoba wako vimemwagwa sakafuni. Kwenye makaratasi

unakuta fomu zako za benki, na unakimbia kuvaa. Davinder haonekani, wala hapokei simu yako.

dukani. Madirisha yamebomolewa na kubaki wazi; mlango unaning’inia ukiwa vipande vipande; na

nguo, viatu na bidhaa nyingine vikiwa vimebaki rundo la majivu. Harufu ya moto na moshi wake

Ikiwa unakimbia kurudi kwa mwanasheria kutafuta msaada wa kisheria, nenda kwenye Huduma

za Kisheria na uchukue kadi namba 2.

uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Sarah B12
Hadithi ya Sarah

Polisi 1

A13
Polisi 1

kifamilia” na anakuelekeza uende kwenye chumba kingine kilichojaa watu.

wa polisi anakazi nyingi, hawezi kusubiri zaidi, hivyo unasimulia habari zako kwa ufupi, ukimwambia

anauliza akionyesha kutojali mateso ya kupigwa uliyoyataja. “Unasemaje?” Umechanganyikiwa.

“Duka lilikuwa la kwako au la mume wako?” anarudia. “Mimi, sisi, uh, nadhani...” huna uhakika

useme nini. Mume wako alisaini mkataba mlipogangisha chumba cha duka. “Mama, sina uhakika ni

mume wako ndiye amelichoma moto, hatuwezi kukusaidia.” Unaanza kumshawishi afande, “Lakini

ishara ya kusitasita, na anakwambia nenda nyumbani kwa jamaa zako ili mlitatue suala hili kifamilia

kwa faragha.

hawawezi kukuhakikishia usalama, na sasa duka lako limechomwa moto, huna tena biashara ya

kukuwezesha kulipia huduma za kisheria kwa ajili ya kutaka talaka. Ila unajua kwamba, wewe na

watoto wako inabidi muondoke mkae mbali na baba yao. Lazima ufanye maamuzi.

Ikiwa unaamua huwezi kulipia gharama za msaada wa kisheria na unataka kwenda kukaa na

binamu yako kwa usalama wako, nenda kwenye Familia na uchukue kadi namba 3.

namba 2.

Hadithi ya Sarah B13
Hadithi ya Sarah

Familia 3

A14
Familia 3

Unajisikia salama zaidi ukiwa nyumbani kwa binamu yako. Watoto wako wanahamia kwenye shule

Baada ya muda, unaanzisha tena biashara ya kuuza nguo za wanawake. Mume wa binamu yako

wengi zaidi. Wazazi wako wanapata taarifa kwamba umeshaondoka nyumbani kwako, na wanakusihi

urudi kwa Davinder, lakini unawaambia kwamba wewe na watoto wako mna amani na furaha kukaa

kwa binamu yako kuliko kwa Davinder.

Binamu yako anasema Davinder amekuwa akimpigia simu kuomba kama unaweza kukubali

mzungumze, lakini unakataa. Baada ya majuma machache kupita, ukiwa unatoka kuwachukua

watoto kutoka shuleni, unamkuta Davinder akiwa amekaa jikoni kwa binamu yako akikusubiri. Mara

unapopata nguvu kutoka kwenye mshtuko uliopata kwa kumuona, unapata ujasiri wa kumwamuru

aondoke nyumbani hapo. Lakini haondoki na binamu yako anakusihi mtoke nje ukamsikilize. Davinder

anakuomba muondoke naye kurudi nyumbani kwa sababu huwa anatamani sana kuwaona watoto.

Unaanza kulia kwa uchungu. Binamu yako anakwambia mwanaume mwenye hekima ndiye huweza

kumuomba radhi mke wake.

Ikiwa unaamua kurudi nyumbani na Davinder, nenda kwenye Kurudi Nyumbani na uchukue kadi

namba 1.

biashara yako, nenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 2.

Hadithi ya Sarah B14
Hadithi ya Sarah

Kurudi Nyumbani 1

A15
Kurudi Nyumbani 1

Huwezi kuukana ukweli kwa faraja unayopata baada ya kurudi kwenye mji ambao mmeujenga na

Davinder. Watoto wenu wameonaa furaha kwa kurudi nyumbani na kuona wazazi wao wamerudiana.

Unajisikia vizuri kuwa naye tena na kujulikana kama mke wa mtu.

Unaachana na wazo la biashara yako daima, ukiapa kujitoa kwa ajili ya kutunza familia yako na kuwa

mke bora na mama bora wa familia kadri iwezekenavyo. Unaandaa vyakula mbalimbali ambavyo

ninachukua masaa kuwa tayari; unatengeneza bustani kuzunguka nyumba yenu; na unaandaa

sherehe ya kukumbuka siku alipozaliwa Davinder pasipo kumjulisha ili kumstaajabisha, sherehe

na kuwa mwenye wivu kama alivyokuwa, na anaanza kutotulia nyumbani, akikudharau na kukupiga

mara kwa mara anaporudi nyumbani.

Hasira zake zinawaka na kutulia. Hujui kama atarudia kutaka ngono kwa nguvu, kukagua simu yako, au

kukuita majina mabaya, lakini unaamua kwamba hayo ni mambo mandogo tu kwa wewe kuvumilia

ili kulinda ndoa yako, ili uheshimiwe na jamii inayokuzunguka, na pia kulinda hadhi ya jina la familia

yenu. Haya ndiyo maisha ambayo umechagua kuishi, hivyo huna budi kufanya vizuri iwezekanavyo

kwa manufaa ya watoto wako.

MWISHO

Huu ndio mwisho wa hadithi ya Sarah. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yake

Sarah.

Hadithi ya Sarah B15
Hadithi ya Sarah

Kazi 2

A16
Kazi 2

Binamu yako anashtuka kwa maamuzi yako ya kubaki na kuendelea kuishi nyumbani kwake.

Anakwambia kwamba hueleweki na hujafanya maamuzi sahihi kumwacha Davinder aondoke. Hata

wewe unajishangaa kwa kufanya maamuzi hayo, huna namna ya kujisaidia bali unamkumbuka mume

wako. Lakini unapowaangalia watoto na kukumbuka mambo ambayo Davinder alikuwa anawafanyia,

unajua umefanya maamuzi sahihi.

Siku hadi siku, unawaza kwenda kumuona mshauri kwenye Shirika lisilo la Kiserikali ambalo linatetea

vyovyote kwa kufanya hivyo. Isitoshe, hakuna mtu yeyote ambaye ameshafanikiwa kukusaidia.

Unapata nguvu kihisia biashara yako inapoendelea kukua, lakini unajua haitakuwa rahisi kutunza

watoto ukiwa peke yako. Hofu ya kwamba Davinder anaweza kukudhuru au anaweza kuja kuwachukua

mara tu utakapopata pesa ya kutosha kulipia gharama hiyo.

utapata talaka kisheria na kuwa huru kutoka kwa Davinder moja kwa moja.

MWISHO

Huu ndio mwisho wa hadithi ya Sarah. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yake

Sarah.

Hadithi ya Sarah B16
Hadithi ya Sarah

Huduma za Kisheria 2

A17
Huduma za Kisheria 2

Hujisikii vizuri hata kidogo kuanzisha mchakato mgumu wa talaka na unachoshwa na kiburi na jeuri

pekee ndiyo suluhu ya shida zako. Gharama za kisheria ni kubwa sana, na inachukua muda mrefu

Hatua ambayo ni ngumu kuliko zote ni kufungua mashitaka ya kisheria dhidi ya Davinder. Siku ileile

nyumbani akute mmekwishaondoka. Mnaomba Mungu kwamba asije kuwapata tena.

Pesa ambazo umeweka akiba ni kidogo na zinatosha tu kulipia kodi ya nyumba ndogo na pia

kulipa ada ya shule kwa watoto wako. Hakuna kiasi chochote kinachosalia kukuwezesha kuanza

biashara nyingine. Hujui utaendeleaje kulipia gharama za mwanasheria ili kukamilisha mchakato

wa talaka yako. Wazazi wako hawana pesa, na hata wangekuwa nazo wasingekusaidia kwa sababu

Unakaa nyumbani ukiwa hujui nini cha kufanya, ukiwaza utawezaje kuwatunza watoto peke yako.

huku ukishuhudia akiba yako inayozidi kupungua, lakini kuna kazi chache sana ambazo mwanamke

kama wewe anaweza kufanya.

MWISHO

Huu ndio mwisho wa hadithi ya Sarah. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yake

Sarah.

Hadithi ya Sarah B17