22.11.2014 Views

Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Sarah Utambulisho - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Familia 3

Unajisikia salama zaidi ukiwa nyumbani kwa binamu yako. Watoto wako wanahamia kwenye shule

Baada ya muda, unaanzisha tena biashara ya kuuza nguo za wanawake. Mume wa binamu yako

wengi zaidi. Wazazi wako wanapata taarifa kwamba umeshaondoka nyumbani kwako, na wanakusihi

urudi kwa Davinder, lakini unawaambia kwamba wewe na watoto wako mna amani na furaha kukaa

kwa binamu yako kuliko kwa Davinder.

Binamu yako anasema Davinder amekuwa akimpigia simu kuomba kama unaweza kukubali

mzungumze, lakini unakataa. Baada ya majuma machache kupita, ukiwa unatoka kuwachukua

watoto kutoka shuleni, unamkuta Davinder akiwa amekaa jikoni kwa binamu yako akikusubiri. Mara

unapopata nguvu kutoka kwenye mshtuko uliopata kwa kumuona, unapata ujasiri wa kumwamuru

aondoke nyumbani hapo. Lakini haondoki na binamu yako anakusihi mtoke nje ukamsikilize. Davinder

anakuomba muondoke naye kurudi nyumbani kwa sababu huwa anatamani sana kuwaona watoto.

Unaanza kulia kwa uchungu. Binamu yako anakwambia mwanaume mwenye hekima ndiye huweza

kumuomba radhi mke wake.

Ikiwa unaamua kurudi nyumbani na Davinder, nenda kwenye Kurudi Nyumbani na uchukue kadi

namba 1.

biashara yako, nenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 2.

Hadithi ya Sarah B14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!