12.07.2015 Views

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kazi 3Umeumizwa vibaya na unaogopa kushambuliwa tena. Hutaki kutoka nje ya nyumba, lakini unadhaniwanawake wa kibanda cha ufundi stadi watakuwa na wasiwasi juu yako. Na bado unadaiwa kulipaada ya shule. Unapotokea kazini siku chache baadaye, Furaha anaona wasiwasi sana. Anapoangaliahali yako, anakuuliza nini kimekusibu. Unamsimulia kuhusu kibaka alivyokushambulia, huku akiwana hasira kwa sababu pesa zimeporwa, anaendelea kuonyesha wema na kukusaidia. Anakuombaradhi na kusema kwamba hakupaswa kukuacha ufunge na kwenda nyumbani peke yako ukiwa nafuraha anakukaribisha uende naye kwenye kikundi cha kutoa msaada ambako anahudhuria marambili kwa mwezi.Unasitasita, lakini unaanza kuhudhuria pamoja naye na unashangaa kwa kukutana na walemavuwengine wengi. Baada ya kipindi mojawapo, kiongozi anakuita na anakuambia amefurahishwa sanana wewe na angependa akusaidie urudi shuleni kusoma. Unafurahia sana kupata fursa hiyo, lakinimasomo yanagharimu pesa kiasi. Huna uhakika kama unaweza kumudu, hivyo hujui ufanye nini.Ikiwa unataka ujiandikishe kwenye darasa la elimu ya watu wazima, nenda kwenye Elimu nauchukue kadi namba 1.Ikiwa unaamua kwamba umri wako ni mkubwa sana kwa wewe kuanza kusoma na ungependaurudi nyumbani ukaishi na wazazi wako, nenda kwenye Fursa na uchukue kadi namba 2.Hadithi ya Carol B13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!