13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Aprili - Juni, 2011MBEGU ZA MUHOGO KWA VOCHAUGAWAJI WA MBEGU ZA MUHOGO KWA VOCHANa Haji H. SalehWizara ya Kilimo na Maliasilikupitia Taasisi ya Utafi ti waKilimo Zanzibar imeanzisha hudumaya Vocha kwa ajili ya ugawaji wambegu za muhogo. Vocha ni karatasimaalum yenye thamani ya fedha nahutumika kwa ajili ya upatikanaji wambegu na pembejeo kwa wakulimawasio na uwezo wa kununua na kupatapembejeo husika.Hapa Zanzibar, mfumo huu wa vochaulianza kutumika kwa majaribiokatika vijiji vya Mahonda, Machui,Makunduchi, Uzi na Kisauni ambakoulilenga kutoa fursa kwa wakulimawasio na uwezo wa kununua mbegumpya na bora za muhogo zenye uzazimkubwa na kustahamili maradhi.MAFANIKIO YALIYOPATIKANAKatika awamu ya kwanza ya majaribiojumla ya wakulima 1,217 walifaidika,hasa wale walioharibikiwa na mazaoyao kutokana na majanga ya maradhiya muhogo yanayosababishwa navirusi (Cassava Brown Streak Disease,CBSD, na Cassava Mosaic Disease,CMD). Hata hivyo, imebainika kuwawakulima wengi hawana uwezo wakununua mbegu bora kutoka kwawazalishaji wa mbegu hizo.MAMBO YA KUFUATA WAKATI WAKUSHAJIISHA MATUMIZI YA VOCHAi. Kuandaa mkutano na kushajiishaviongozi wa Wilaya, Shehia na Vijijihusika kwa lengo la kutoa uwelewana umuhimu wa mfumo wa vocha,ii. Kutumia vigezo maalum ikiwa nipamoja na “PRA wealth rankingtool” kwenye jamii (shehia)zitakazohusika na zoezi hili ilikupata watu wanaostahiki kupatamsaada au huduma hii kwa mujibuwa uwezo wao,iii.Kutayarisha orodha ya wazalishajiwa mbegu bora ambazozinatumika katika usambazaji kwakutumia vocha,iv. Kuandaa mpango wakuwatembelea wazalishajimbegu na kuangalia ubora wambegu zinazozalishwa ili kuepukaMkulima akitayarisha mbegu ya muhogo aina ya Kizimbani kwa ajili kuzitoakwa wakulima wenzake kwa mfumo wa vochausambazaji wa mbegu zisizo naviwango,v. Kusambaza orodha yawenye mbegu kwa wakulimawanaotegemewa kupata mbeguhizo ili wafahamu muda na wapiwakachukue mbegu hizo baada yakukabidhiwa vocha zao,vi. Kutayarisha mkutano wawanaotarajiwa kupata vocha nakuzigawa vochakatika mazingira yauwazi na ukweli.vii. K u w ashirikishaviongozi wa ngazihusika ili kila mdauaelewe hatuazinazoendelea katikaeneo lake,viii. Kufanya mkutano nawazalishaji wa mbeguna kuwaelezeataratibu za ugawajiwa mbegu na namnawatakavyopatamalipo yao baada yakubadilishana vochana mbegu,ix. Kubadilishana vochana mbegu,x. Kuchukua takwimuza vocha zilizotolewa10sambamba na kufanya malipokwa wazalishaji mbegu. Kila vochamoja ya muhogo ina thamani yashilingi 3000/= ambayo ni sawana thamani ya mzigo mmoja wambegu mpya.xi. Kila mkulima aliyeteuliwaamefaidika na mpango huu kwakupata si zaidi ya vocha mbilizenye thamani ya shilingi 6000/=Mfano wa vocha inayutumika kupata mbegu zamihogo.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!