13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

VIFAA VYA KUPANDISHIA NG’OMBE Aprili - Juni, 2011VIFAA VYA KUPANDISHIA NG’OMBE KWA SINDANO VYAKABIDHIWANa Hashim H. ChandeWaziri wa Kilimo na MaliasiliMhe. Mansoor Yussuf Himidkwa niaba ya Wizara hiyo alikabidhivifaa vya upandishaji ng’ombe kwanjia ya sindano vyenye thamani yashilingi 60,884,236.00 kwa Waziriwa Mifugo na Uvuvi Mhe. Said AliMbarouk kwa ajili ya kusaidia Sekta yaMifugo. Makabidhiano hayo yalifanyikatarehe 28/04/2011 katika ukumbiwa Programu za Kuimarisha Hudumaza Kilimo na Mifugo (ASSP/ASDP-L)Maruhubi.Baada ya makabidhiano hayo Mhe.Waziri aliinasihi Wizara ya Mifugona Uvuvi kuvitunza na kuvitumiavizuri vifaa hivyo na kwa malengoyaliyokusudiwa, Ili vitumike kwa mudamrefu na kuipunguzia Serikali gharamakubwa za kununua vifaa kama hivyo.Mafanikio ya program hizi katika kutoataaluma bora kwa wakulima na wafugajikutokana na kazi wanazozifanya ndiomwanzo wa Mapinduzi ya KilimoVisiwani, kwa kuwa chanzo chamaendeleo ya kitu chochote ni elimuambayo ndio kipengele kikubwa chaProgramu hiziVifaa ambavyo vilitolewa kupitiaProgramu za ASSP na ASDP-L nikama vinanyoonekana katika jaduwelilifuatalo:Waziri wa Kilimo na Maliasili Mhe. Mansoor Yussuf Himid wapili kulia akimkabidhi vifaavya upandishaji ng’ombe kwa njia ya sindano Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. SaidAli Mbarouk wapili kushotoWaziri alieleza kwamba Program hizimbili za kutoa huduma za kilimo namifugo zinawajengea uwezo wakulimana wafugaji wetu kutambua matatizoyao, kutoa kipaumbele cha matatizona kuyapatia ufumbuzi kulingana narasilimali zilizopo.Aidha, alifahamisha kwamba katikajuhudi za kuimarisha sekta ya mifugoProgramu ya Kuendeleza Huduma zaMifugo (ASDP-L) iko mbioni kukamilishaukarabati wa vituo vya kutoa hudumaza afya ya mifugo, uzalishaji namaabara zake. Vituo hivyo ni pamojana Konde, Kengeja, Mangapwani namaabara za mifugo zilizopo Maruhubina Chake Chake. Kwa sasa mkatabawa ukarabati wa chinjio la kisakasakaupo tayari na mkandarasi ameshatiasaini na ujenzi unategemewa kuanzahivi karibuni ambapo jumla ya shilingi191,803,766.00 zimetengwa naprogram mwaka huu kukidhi ukarabatiwa majengo na ununuzi wa vifaa vyakeili viweze kutoa huduma zinazostahili.S.No Description Unit Gty1. Artifi cial vagina set 42. Rough latex liners for AV set 43. Rough neoprene liners for bovine set 44. Smooth neoprene liner for bovine set 45. Smooth latex liners for AV set 46. Reusable cones for Bovine AV dozen 47. Reusable Protective cover for AV dozen 48. Pyrex 15ml Graduated tubes dozen 49. Gumboots Pair 610. Liboratory coats pcs 611. Overall pcs 612. Digital thermometer pcs 213. Semen extender bottle 614. Micros cope Pcs 115. Al kit Kit 5016. Insemination sheath packet 2017. Infrared sterilizer Pcs 118. Water bath (with regulated temperature Pcs 119. GnRH Vial 620. Gonadotrophin pack 65

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!