13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MBEGU ZA MUHOGA KWA VOCHA/MATONE Aprili - Juni, 2011xii. Mzalishaji mbegu hukusanyavocha zake na kuzipeleka katikaKitengo cha Utafi ti wa Mazao yaMizizi kwa malipo kila mwisho wamwezi,xiii. Ili vocha iweze kulipwa lazimaionyeshe sahihi za wahusikaakiwemo mtoa vocha, Mkuu waKitengo, mzalishaji mbegu pamojana tarehe ya mabadilishano hayo(Kama inavyoonekana kwenyesampuli ya vocha),MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIAKATIKA MATUMIZI YA VOCHA• Uwekaji kumbukumbu kwawazalishaji mbegu nzuri na zenyeviwango vinavokubalika.• Kutoa taaluma kwa washiriki wotekuhusu utaratibu wa vocha.• Uchaguzi wa wanufaika na hudumahii lazima waachiwe wanajamiiwenyewe ili kuepuka malalamikokwa wataalam kuwaingilia nakutoa upendeleo kwa baadhi yawatuFAIDA ZA MATUMIZI YA VOCHAMfumo huu umesaidia wakulimakatika nyanja nyingi, ikiwemo kueneakwa mbegu bora zinazozalishwa katikavituo vya utafi ti na kwa wazalishajiwa mbegu, kuwapatia mbegu borawakulima wasio na uwezo wa kununuambegu kutoka kwa wazalishaji. Kupatamafunzo juu ya matumizi ya vocha nakubadilishana uzoefu katika uzalishajiwa mazao na kuwapatia sokowazalishaji wa mbegu.HITIMISHOMfumo wa matumizi ya vocha katikaugawaji wa mbegu za muhogoumeonesha kwamba unaweza piakutumika katika ugawaji au utoaji wahuduma kwa mbegu za mazao menginena pembejeo za aina tofauti. Kutokanana uzoefu uliopatikana inashauriwajuhudi zaidi zichukuliwe ili kupanuamatumizi ya mfumo wa vocha.UMWAGILIAJI MAJI KWA MATONENa Amour UzziUmwagiliaji kwa njia ya matoneni utaratibu wa kumwagilia majitaratibu kwenye udongo kwa kutumiachombo kilichotayarishwa kwakunyunyizia maji kwenye sehemuiliyochaguliwa kufuata mistari inayotoamaji. Vinyunyizo hivi huwekwa juu yaardhi lakini pia vinaweza kufukiwandani ya ardhi.Umuhimu wa umwagiliaji maji kwanjia ya matone ni kuhakikisha majihayapotei kwa wingi na yanapenya vizurindani ya ardhi na husaidia kupunguzana kuyayusha chumvi kwenye mmeana magugu pia hupungua. Mboleana madawa yanaweza kutumika mojakwa moja kwa kutia ndani ya maji nakupelekwa kwenye mmea. Mfumo huuhupunguza gharama na kuajiri vibaruawengi shambani na gharama. Huokoaupoteaji wa maji kwa asilimia 50 nahutumika zaidi kwenye sehemu zenyeuhaba wa maji.Umwagiliaji kwa njia ya matone huimarisha mboga mboga na kumuweshamkulima kupata mavuno wakati wote wa msimuumegawika katika sehemu kuu tatukama zifuatazo:Umwagiliaji wa matone kwenyemashamba makubwa.Licha ya faida za umwagiliaji majikwa njia ya matone pia zipo hasarachache kama vile, kuziba vinyunyizomara kwa mara na husababisha majiyamwagike vizuri kwenye mimea.Gharama za kuanzia huwa kubwaambapo wakulima wadogo wadogowanashindwa kuzimudu.Hapa Zanzibar umwagiliaji maji kwanjia ya matone unaendelea kukuasiku hadi siku na Mkoa wa MjiniMagharibi unaongoza kwa kuwa nawatu wengi wanaotumia mfumo huoukifuatiwa na Mkoa wa Kusini Unguja.Aidha, umwagiliaji kwa njia ya matoneUmwagiliaji katika bustani zamajumbaniVifaa na vitu muhimu vinavyohitajikakwenye mfumo wa umwagiliajini pamoja na vianzio vya maji(kisima, mto, ziwa, bwawa au majiyanayotuama), pampu ya kusukumiamaji kuingiza tangini, jenereta auumeme, mipira ya ¾ au ya inchi 1 naviungo vyake. Micro Drip 1.9L/H o.3M250M, Ental Pungers/F4/7F.D, EntalColler F.D (0.5-2001), AM 1” SuperDisc Filter 120, Quick all Punch 3mmPlastic Narrow Tefl on na Connector forMicro Drip/Landli.11Mashamba makubwa yanahitaji mipiramikubwa ya maji ikilinganishwa naile ya umwagiliaji katika bustani zamajumbani.Umwagiliaji wa matone kwa chupaNjia hii inafaa kutumika zaidi katikamiti mikubwa ambayo inahuishwamashambani.AngalizoTangi au sehemu ya kuhifadhia majiinatakiwa iinuke kwa uchache wa mitambili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!