13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ZIARA YA RAIS KATIKA MAENEO YA KILIMO Aprili - Juni, 2011MAENEO YA KILIMO YA UNGUJA NA PEMBANa Mzee M. MzeeRais wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein alifanya ziara yakutembelea sekta ya kilimo na maliasilikatika visiwa vya Unguja kuanziatarehe 23 hadi 28/5/2011 na Pembatarehe 30/5 hadi 4/6/2011. Ziara hiyoilikuwa na lengo la kujua mafanikio,changamoto na hatua za kuwasaidiawananchi kufi kia malengo ya Serikaliya kujitosheleza kwa chakula, lishe nakupunguza umasikini nchini. Katikaziara hiyo Mhe. Rais aliongozanana Mhe. Mansoor Yussuf HimidWaziri wa Kilimo na Maliasili, KatibuMkuu, Manaibu Makatibu Wakuu,Wakurugenzi na Maofi sa wa Wizarahiyo.Ziara hiyo ilianza kwa kukagua kilimocha mpunga wa umwagiliaji maji katikabonde la Mtwango ambapo aliwaahidiwakulima kuwapatia pembejeo kwabei nafuu na kwa wakati na kuimarishamiundombinu ya umwagiliaji maji nakusisitiza kuwa kilimo bila maji, mboleana mbegu bora hakiwezi kuwa na tija.Akiwa katika Bonde la BumbwisudiMhe. Rais alipata maelezo yamafanikio, changamoto na malengoya uzalishaji wa mpunga na aliahidikuzipatia ufumbuzi changamotozilizopo na kusema Serikali ina nia yakumkomboa mkulima ili aondokane nakilimo duni na kufi kia kilimo chenye tijakwa faida yake na kwa taifa.Katika Kituo cha Kilimo KizimbaniMhe. Rais alitembelea sehemu yautafi ti wa mbegu za mpunga, muhogona migomba na kupata maelezo yauzalishaji wa mbegu na utafi ti waudhibiti wa wadudu na maradhi,ambapo aliombwa kusaidia vitendeakazi na kaboresha maslahi ya watafi tiwaliopo ili wasikimbie kutokana namaslahi duni.Akiwa katika sehemu ya utibabu wamimea na ukaguzi wa mazao,Mhe. Raisalipata maelezo kuhusu udhibiti wa nziwa matunda, kuangalia maabara yauzalishaji wa miche kwa kutumia Chupa(Tissue culture) na maabara ya udongoambapo alionyeshwa aina tofauti zaudongo zilizopo Zanzibar na kupatamaelezo juu ya utafi ti wa udongo nafaida zake kwa mazao. Pia alitembeleakituo cha usarifu wa mazao na kushaurijambo hili lipewe kipaumbele naRaisi wa Zanzibar, Mhe: Dkt. Ali Mohamed Shein wa kwanza kulia akiwa na KatibuMkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili ndugu Affan O. Maalim na wafanyakazi wengineakipata maelezo kuhusu kilimo cha umwagiliaji maji kutoka kwa mtaaamu ndugu Kadirikuwashajiisha wawekezaji wa ndanikuwekeza katika sekta hiyo. Aidha,aliwataka wafanyakazi na wanafunziwa Chuo cha Kilimo Kizimbani kusomazaidi na kwa bidii na kuahidi kukisaidiachuo hicho kiweze kutoa Diploma hadiDigirii.Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katikaMkoa wa kusini Unguja, alimtembeleandugu Ahmed Saleh mkulima mwekezajiwa shamba la viungo na matunda hapoKidimni, Kituo cha Uzalisha mbeguza kilimo Bambi kuangalia uzalishajina utayarishaji wa mbegu mpya zampunga aina ya NERICA, pia alifi kabonde la mpunga Cheju na kukaguaukulima wa mpunga wa kutegemeamvua. Aidha, Rais aliwatembeleawakulima wa migomba pamoja nashamba la migomba la Mwakilishi waJimbo la Makunduchi, Mhe. Haroun AliSuleiman na alimalizia ziara yake kwakufanya majumuisho katika ukumbi waChuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu.Mhe. Rais akiongozana na Waziri waKilimo na Maliasili Mhe. Mansoor YussufHimid pamoja na mawaziri wengine,wakuu wa mikoa, makatibu wakuu naviongozi wa vyama vya siasa alifanyaziara kama hiyo kisiwani Pemba. Akiwakatika Wilaya ya Wete alitembeleaKituo cha kilimo cha mpunga wa3umwagiliaji maji Mangwena na kupatamaelezo ya utekelezaji wa kilimo hicho.Katika shamba la ushirika la MabiboJunguni Mhe. Rais alipata fursa yakuangalia kilimo cha mikarafuu,muhogo na mdalasini ambapo alielezakuwa Serikali ina mpango maalum wakuimarisha zao la karafuu na kupunguzabei za pembejeo, pia aliiagiza Wizara yaKilimo na Maliasili kuandaa ziara zawakulima kutoka maeneo mbali mbaliya Zanzibar kwenda huko kujifunzakilimo cha mikarafuu.Ziara iliendelea katika Wilaya yaMicheweni kwa kutembelea bonde laKanambe kwa kukagua ukulima wampunga, kupata maelezo ya ukulimahuu na changamoto zilizopo ikiwa nipamoja na kutotumia mbegu bora,matumizi madogo ya mbolea naupungufu wa mvua katika kipindi chakuchanua mpunga. Mhe. Rais alihimizakulima kilimo chenye tija na kuwatakawakulima waongeze juhudi ili kuzalishaangalau gunia 30 hadi 40 za mpungakwa eka na Serikali itajitahidi kuwekezakatika kilimo cha umwagiliaji maji.Katika bonde la Mpunga la Mziwandaambalo linategemewa na watu wengiwa Micheweni kwa kilimo hicho,kuingiliwa na maji chumvi Raisalishuhudia. Mhe. Rais akiangalia

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!