07.10.2015 Views

Chapter 23

• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

published by

not for sale

empowering kenyan youth

Happy New Year!

Happy New Year!

Shujaaz ime improve life yetu, ita improve yako pia!

chapta 23

web fm sms comix

Utamchagua

nani?

TUMEKUJA HAPA

KUOMBOLEZA KWA MAZISHI

YA MAREHEMU.

MASKINI MAREHEMU

ALIKUWA KIJANA MWENYE

HEKIMA SANA

2

sema Boyie,

YULE MP WA MTAANI

AMEKAM KUFUNGUA ILE

BRIDGE

NIMEHUZUNIKA

SANA NA MKASA HUU

uliofanyika juzi,

LAKINI NIMEHAKIKISHA

HAUTAFANYIKA TENA

KAMA MBUNGE

WENU, NIMEAMUA

KUZUIA MKASA KAMA

HII KUFANYIKA TENA,

NJOO MJIONEE…

…MNAONA

NIMEJENGA DARAJA

NZURI AMBAYO

ITAZUIIA VIFO

MHESHIMIWA

YEEEY!!

HIYO NDIO

BRIDGE?

ULIKUWA

WAPI WADHII

WAKI-DIE?!!

3

HIYO BRIDGE

NI MBAO TU

UMEWEKA!!

EHEE EHEE…

WASEE, PIGIENI

MSEE WA NGUVU KA BI

AMANI, HATA AMEJENGA

CHILDREN’S HOME PEKE

YAKE…

WACHIENI

HUYU MP HII BRIDGE

YAKE FAKE! TUKO

PAMOJA?

TUISHIE KADES!

HAWA WASEE NI

WAOOOGA

4

L-L-LAKINI

BOYIE

bAAdAYE…

ANGALIA HIO

MAMBO

YAANI HAWA

WASEE HAWADAI

LEADER MPOA?

NATARAJIA

UTAFANYA VILE

INAFAA

USIJALI SONKO,

MAMBO YA BOYIE

NIACHIE

BI AMANI

MBONA HAUTAKI POST YA

MP, NA ALREADY

UNACHUNGA MA-ORPHAN

HAPA MTAANI?

LAKINI BOYIE,

HIO KAZI YA MP SI

NI NGUMU SANA?

WEWE ALREADY

UME-SHOW UNAWEZA

LEAD, KWA KU-BUILD HII

CHILDREN’S HOME,

INASAID……!!!

HII TRACTOR

INAENDA???

5

DERE, HII

NDIO KEJA

INAANGUSHWA

ATI NINI??

SITOKI HAPA, LABDA

MNIKANYAGE KAMA

MNATAKA KUBOMOA…

TOKA HAPA

MATHE!!

NIACHENI,

NIACHENI!!!

KWANZA WE

BOYIE UTAFUNGA HIYO

MDOMO BIGI

NIACHENI,

MNANI-TAKE

WAPI

6

TUMA SMS NA NENO DONGA KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII RISTO.

KUWA donga

SIO KUWA LEADER!

Hii story ya political intimidation

n

lazimaa ma-youth wamalize. Tusiitikie

kutumika umika kwa violence. Kama MP

wenyu ha-perform, ishieni kwa

debe na m-make choice poa.

Sheria inasema hivi kwa Chapta 7 ya Constitution:

“Msee yeyote yote anaweza simamia uchaguzi kama

independent ent candidate kama yeye – sio member wa chama

yoyote y registered ya kisiasa…”

Unaweza kuwa MP kama wewe ni:

3008

Youth leaders wenyu wanangoja views zenu

kwa facebook. Wana need mu-washow

vile mnataka kwa page ya Inter-Party

Youth Forum (IPYF) au page yao na

ukue fan. Hii ni chance yenu kubwa

ku-make positive change.

Inter-Party Youth Forum (IPYF)

7

KUWA READY

KU-VOTE!

CHUKUA ID YAKO SASA KAMA UNATAKA AKA KU-REGISTER

KUPIGA KURA!

Nani ana-qualify ku-register kama voter?

Na-registrer aje kama voter?

Ndio hii information yote unahitaji ili

kuhakikisha umepiga kura kwa

election ina-come. Kumbuka, kama

uko over 18, ni right yako na duty

yako kupigia kura leader wako.

ILANI:

Kuuza ama kuharibu voters card yako ni kosa kwa laws za Kenya!

Naweza katazwa ku-register kupiga kura? Kama…

Q&A

Nafaa ni-register wapi kama voter?

Naweza change

registration details

zangu?

Naweza register zaidi

ya mara moja?

Niki-lostisha voters card yangu inaweza kuwa replaced?

8

So kuwa prepared!

Kama ushafikisha

miaka 18 na hauna

ID bado….Usingoje

mpaka last minute!

Utakuwa

disappointed.

Ili kupata information

zaidi cheki

www.IIEC.or.ke ama

visit facebook

page yao

“IIEC Voter Education”

INTERIM

INDEPENDENT

ELECTORAL

COMMISSION

Chuo ni poa

Woiiye!

Sasa nitado wat?

Mbona fathe anataka

ku-spoil life yangu?

Mum!

Unaenda?

Kazuri, nini mbaya?

Uko msick?

Usijali. Ntafanya

chochote ndio ubaki

chuo.

Ni budangu!

Alisema niache chuo

ndio nichunge mabro

wa-mine!

Zii, siko msick!

9

keshoye...

Ahhh!

kaa mimi wewe

ningejazika sana! I wish

mbuyu angenishow

nitoke chuo!

Ata singe-think

twice, kutoka

mara that that!

Acheni za ovyo!

Tunafaa kuhepi juu

kesho kuna show ya

NAMELESS!

Jipendo!

Achanga izo, chuo ni

muhima sana. Tunafaa

kuwa tunafikiria venye

tuta-help Kazuri...

KESHO YAKE

Bado ile stori ya

Kazuri inanisumbua.

Nataka kum-help.

Cheki venye kuna

watu wengi!!

Tuharakishe!

10

9

Karibu masupa!

Unaenda wapi wewe?

We ni mtio sana. Ebu rudi

home spidi!

Aha!

Niko na idea!

11

Hiyo concert

imekuwa smart!

whaaat!!!

Ni Malkia!

Queen wa

mchongoano!

Wahhh!

Nini mbaya

Malkia!

Aki pole, ni vile

lazima ningebonga

So nawe kabla uishie.

unanikumbuka?!

keshoye...

12

Nime-invite Nameless

a-come abongeshe

community kuhusu umuhimu

wa madem kuwa chuo.

Nameless ni jina kubwa.

Hawezi tokelezea kwa hio

event yako!

SIKU YA CONCERT...

Aki ako wapi?!

Yaaaay!

Nameless,

wohooooo!

Malkia tume-come mtaa

yako kuwakilisha, ebu

come apa uangushe

mistari kadhaa.

13

TUMA SMS NA NENO SOMA KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII RISTO.

Malkia

karibiaaaaa.

ebu come apa

uangushe mistari

kadhaa.

Hadi lini madame

tutakaa down kusini, time imefika

tupande juu kaskazini. Kwenda chuo

ndio deal then life iwe real.

Umaskini utakill, ukipata hizo skills.

Hakuna shame ukiwa dame, GIRL or

BOY mbele ya GOD

tuko same!

Wacha niwaambie wasee, kila mtu ana GIRLS

kwa life yake. Anaeza kua matha, sistako ama

wife yako. Jambo la muhimu ni kuhakikisha

isha

wasichana wameget elimu.

Kumpa msichana uwezo na skills ni kuendeleza

jamii yote. Walami husema, ukimwelimisha

msichana, umeelimisha mtaa.

Wasee, madem kuenda

na kumaliza system ni

kitu poa! Mamanzi anzi

wana haki ya ku-chop

ndio hata baadae

wajitegemee ausio?

JINA: Susan Adhiambo aka Suzie

AGE: 19 BASE: Kibera, Nairobi

3008

Mimi ni Group Leader wa madem 56 hapa mtaani.

Mother yangu amenilea peke yake. Yeye ni m-sick na hana job. Wasee wengi

hawakutaka nisome, waliambia mother kila time ati aniachishe chuo.

Uzuri, mother hakuwaskia na aliendelea tu kukazana na mimi. Nilifukuzwa chuo

mara mob juu ya fees. Sikuchoka! Niliendelea kubonga na wasee mtaani wanipe ideas

za

vile naweza get scholarship, na pia wenye wanaweza nisaidia!

Nilisoma hivyo kwa shida lakini nikamaliza Form 4 2010. NAEZA ADVISE MA-DEM

tusi-lose hope na tusisahau dreams zetu. Kuwa na tabia poa na wasee hawatakosa

kuku-help! Join groups za maana ili upate ujanja kutoka kwa wenzako.

14

Binti Pamoja ni group za madem

wengi wa

Kibera wenye huinuana

through

ma-training na kutumia

talents za drama na performance.

Pata info zaidi juu ya kuelimisha madem tofauti kutoka:

Binti Pamoja – Carolina for Kibera

Nangos: 020 80406333

Email: info@carolinaforkibera.org

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd.,

P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214, www.welltoldstory.co.ke.

Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Produced in collaboration with: USAID, Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday

Nation and Safaricom.

Content producer: Audrey Wabwire | Koome Mwiti

Content: Paul Peter Kades | Vincent Muthini | David Ouma | Sylvia Thuku | Koome Mwiti

Art Producer: Tim Odero Layout Design: Tim Odero

Art: Daniel Muli | Eric Muthoga I Shin Tuxedo | Naddya Aluoch | Joe Barasa

Radio: Eunice Maina | Dominic Oigo Finance: Dorothy Acholla

Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio

Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or

mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the

publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. 15

SHULE POA

SCHOOL SAFETY: MY RESPONSIBILITY!

Happy new year mastude wapoa! Kumbukeni, ni responsibility

yenu kama ma-stude kuhakikisha chuo yenu ni the best na

place safe kabisa.

Kuna mafans wangu kadhaa wamenipa suggestions kibao juu

ya vitu wasee wanaweza do kuhakikisha chuo yao ni Shule

Poa. Mkishazi-do, zi-tick off alafu mnishow ndio ni-share

experiences zenu na mafans wangu wote Kenya nzima.

Form club ya Shule Poa –

chukueni responsibility

yaku-make shule yenu iwe the

best it can be. Unaweza pata

ideaz kibao za ku-make shule

yenu iwe poa kutoka kwa

stories za Shujaaz.FM!

Andika list ya safety

equipment zote na emergency

phone numbers kisha

uzi-display publicly. Kama

shule yenu haina ile kit ya first

aid, unaweza raise dooh ya

kuzi-buy ukiosha ndai.

Ku-bully wasee ni sign ya kuwa

weak na cruel. Fanya shule yenu

iwe bullying-free zone.

Msii-tolerate bullies.

Wa-report!!

Ma mode hawafai ku-date ma stude.

Mode akijaribu kukushika vile haifai,

m-report immediately kwa ma-paro

wako na princi

Badala ya ku-complain,come up na

solutions na pia uliza princi ka mnaweza

meet m-discuss hizo solutions.

Ku-complain haitawasaidia ku-achieve

kitu yoyote.

Encourage mabeste wake wa chuo

wa-perform poa na wa behave vile

inafaa ndio chuo ikue poa

Weka ma dustbins za

takataka all around chuo

yenu na u-organize rota

ya venye hiyo takataka

itakuwa collected.

Winner

Shule Poa Essay

competition

18

Mulika Daktari

daktari!

daktari!

hapa!

saidia hapa!

msichana

yangu anashindwa

kupumua... si

umuletee ile

machine ya

oxygen?

aaaah!

mama acha

kunisumbua! mwenye

kifunguu ya oxygen

ameenda lunch!

na uwache

kuniitaita hivyo.

huoni niko

busy?

alice jikaze

tu... mungu atakuponya.

jikaze msichana

yangu...

sasa mama

alice. nime-come

kumcheki.

anaendeleaje?

ako tu.

ana shida

sana ya kupumua

lakini hawa

madaktari... mimi

sijui!

19

20

21

22

mama junior,

si utachukua

junior kutoka

shule leo?

sawa.

haya!

breakfast show hapa! it’s

twenty minutes to 8 a.m.

na tuko na show kali

leo! unakula

breakfast? haya basi,

kula na mdomo lakini

utupatie sisi masikio

maanake you don’t want

to miss this!

kuna dem fulani

ametutumia clip noma

sana! madaktari wengi

ni wapoa, lakini kuna

some rotten fish

among them! sisemi

zaidi, sikiza mwenyewe

uniambie...

siku ya next...

daktari! rafiki yangu

anaitwa alice ali-die

hapa leo. mathe yake

anaomba umpe mwili

azike. yeye hu-do bizna

ya kuuza fish. to be

honest, hawezi afford

hizo doh mnataka.

tafadhali...

oh, unajuana

na huyo mama?

mwambie

aache kunisumbua. na

hiyo mwili ya mtoto

wake hatuwezi

kumpatia.

asipolipa by

friday, mimi mwenyewe

nitatupa hiyo msichana

yake huko tunatupanga

takataka.

my friend, umesikia

huyo daktari vile anaongea?

huyo ni binadamu kweli?

yaani hana huruma hata

kidogo! sasa nakuuliza

wewe mwezangu, umewahi

kuenda kwa hospitali ama

clinic kutibiwa halafu...

aaaahh!!

nini

mbaya?

unasikia

baridi?

aaah...

ndio...

hapana...

ndio...

aaaah...

aaaah!

mimi nimeenda

job. kuna kitu

nataka

kufanya kabla

saa mbili...

aaaah...

23

24

ai,

biashara

siku hizi ni

mbaya!

yule

daktari wa

wanyama, uncle

rosie, ameniibia

customers

wengi tu

sana...

itabidi nianze

ku-strategize

aggressively...

...kabla

nianze

kuisha!

wah!

vile

figure yangu

inakuwanga

sweet...

grrr!

ngoja tu

nimpate huyo

uncle rosie!

weweeeee!!!

nimejazzika

tu sana!

ai!

sasa

hawa ni

akina

nani?

ni taabu

na mwenye

kelele nyingi,

charlie pele!

naenda

home ku-make

dye ni-colour

hizi chicks

mpya!

25

nizi-make

pink kama zile

zingine? Ama

labda ni

orange this

time?

ama green,

kuzitofautisha?

wah,

unajua hizi

chicks ni vile

nitaanza

kuchanga dowry

ya komwoa

purity?

itabidi

nizilee

vizuri...

ama

blue?

ama

purple???

oho!

baadaye...

strategy

imeiva!

...unajua, hizi

kuku ni pesa!

huwezi kuzilea

bila mimi

kuzi-bless!

zitakufa!

na vile

wewe ni customer

mpoa, niko na

special offer, kuku

moja tu badala ya

mbili zangu za

kawaida...

...ni dj B kwenye

dial, na leo

tunawakilisha

wakulima!

sikizeni stori

fulani...

eh, sijui

mambo ya hizi

chicks za taabu,

lakini siwezi

kuhata offer...

uncle

rosie?!?

umeshafika???

sangoma!

habari

yako?

26

unafanya

nini hapa?

nimekuja

ku-vaccinate

hizi chicks...

kwenda huko

na hizo madawa

zako! blessings

zangu pekee ndio

zinahitajika

hapa!

ehm,

taabu ndiye

ameniita...

aaaah, hawa

watoto wanajua

nini? wacha

kudanganya watu

na hizi madawa

zako!

wasee!

sikizeni!

DJ B

anaongea

juu ya stori

kama hii

yetu!

dj b, thanx 4 da tip

about chicken vac. i've

started a project 2

help generate sme

income.

pia nimeweka trees

flowers nursery coz we

need them and also i'll

get some money big ups

4da gudwork. lydia

amagoro.

lydia,

asante sana

kwa hiyo message

yako, hiyo ni stori

poa sana... si

utuelezee more

kuhusu project

yako?

27

Base: Webuye, lakini nasoma

Machakos Technical

Age:

33 years

Name:

Lydia Amagoro Namaemba

Tulikuwa na kuku mob sana kwetu time nilikuwa mdogo. Then later vile nilienda

high school, kuku zetu zilianza ku-reduce pole pole. Sikujua reason then, but

baadaye Mum aliniambia diseases zilikuwa zimeongezeka sana.

Later on long baada ya kumaliza shule, nilikuwa tu home. Most of the time nilikuwa

free. Around hiyo time ndio niliona story ya chicken vaccines kwa Shujaaz.FM.

Nili-realize kuwa kama ningechukua hatua, maybe kuku zangu zingeacha kufa ovyo

ovyo. That is when niliamua kutafuta place yak u-buy vaccines.

Kulingana na wasee wa hapa mtaani, kuku zinalindwa na Mungu. In case of

disease outbreak, wanaziacha tu zife na zile zina-survive ndio wanaanza nazo

afresh. Mimi niliamuanii-give a try nione kama ita-make a difference.

28

So outbreak ilipo-come,

nilienda kwa agrovet na

nikam-show symptoms. Huyo

msee anajua kazi yake. Alinipa

dawa flani inaitwa Coprsol

ambayo hu-prevent chicks

kupata magonja. Ali-advise

nizipe for 4 days only.

According to instructions, hii

dawa inafaa kuwekwa kwa maji

ili chicken zikunywe maji

pamoja na dawa. Yeye

alini-advise nizipatie drops za

hiyo maji mwenyewe kwa

sababu haiko guaranteed

zitakunywa ukiiweka hapo nje.

After the 4 days nilianza

kuzipatia Avapox ambayo

nilizidunga kwa mabawa.

Imagine hiyo dawa yote

ilini-cost 65 bob! Of the 13

chicks ambazo zilikuwa na

dalili ya ugonjwa, only 1 died.

Saa hii niko na over 60

chickens, nimeuza more than

10 na zenye nimepeana kwa

harambee hazihesabiki.

Thanks to Shujaaz.FM, nina

project inani-susutain nikirudi

home during holidays. Pia

pocket money ni constant.

29

TUMA SMS NA NENO KUKU KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII RISTO.

Advise yangu kwa ma-youth na farmers ni, tuwe wajanja. C ati kuku

zinajilinda. Hizo kuku zinakula uchafu na ni lazima tuzitunze sisi ili kupata a faida

zaidi. Vaccine ni cheap lakini outcome ni rewarding. Kuku moja inauzwa 450

at the moment huku ocha. Imagine utapata how much kwa kuku 60! Pia

tunauza mayai, na tunakula incase tunataka mboga.

3008

Thanks sana DJ B!

na-hope

stori ya lydia

imewasaidia,

wasee! tupatane

next time!

tuko

gangare!

agh,

sawa, basi.

mnaweza

kuzivaccinate.

30

grrr... uncle

rosie... ngoja

tu! siku moja

nitakupata...

texts moto

Niaje mafans. Valentines iko kwa

corner, hebu mnitumie text zenu kwa

3008 mkianza na jina “LOVE” alafu

zile text moto zitakua announced na

DJ B kwa show yake kila siku!

31

Shujaaz.FM radio show inapenya kwa hizi station

kenya mzima. pata story zote za comic kwa show

yangu. cheki time na ukae rada!

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!