21.10.2015 Views

Chapter 36

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

CHAPTA 36

CHEKI NDANI!

utajitoa aje kwa gang nai?

Politician mgani hulipA poa?

ushaona cow inatumia simu?

Not for sale

KUJENGA KENYA

3

niaje mayuts!

Manze hawa leaders

wa IPYF ni wa inspiring

sana. Mlijua yuts wa

Kenya ndio wata-decide

kama hizi elections

ni peaceful?

Patana na yuts

wengine facebook

kwa Inter-Party Youth

Forum (IPYF) u-share

views zako ju ya

2013 elections!

Kama kijana wa IPYF

naeza like kukumbusha youth

wengine eti ni responsibility

yao ku-obey law. Ni

responsibility yetu ku-respectiana

hata kama tribe.

religion na political

party tuna-support

ni different.

It is our responsibility

to use our strength

to protect our

Land and Nation.

name: Christine Ndung’u

Party: Democratic Party - iPYF

Tunataka vijana wa Kenya waparticipate

kwa elections

vipoa na wafuate law. Vijana

wanafaa wasifuate na kuskiza

vitu zinahusu violence,

intimidation, hooliganism

na tribal hate. Na

wakumbuke lazima

wajitokeze ku-vote.

name: joshua Aluoch

Party: KANU YOUTH

Ma jamaa tumetoka

far kama nchi, yaliotokea

last election si kitu ya

kujivunia. As we cross the

country in search of votes

and prepare for elections

let us bear in mind we

need each other

after elections. Let

us keep this in mind!

name: Beatrice Cherono

Party: PNU - iPYF

4

Youths msiwe kama

bendera mnatumika kucommit

violence kwa

Wakenya wenzenu. Embrace

peace because we are

one people, one Kenya.

name: Margaret Gitonga

Party: Democratic Party - iPYF

Vijana tukitaka amani

lazima tu dumishe

and tuonyeshe

amani na

tuopeane amani.

name: Reuben Ameli

Party: FORD KENYA YOUTH

oyie

Napenda sana ma-electronics

na radio. so nimeamua kuunda

Pirate Radio Station - Shujaaz.fm!

DJ B mwenyewe ndani ya nyumba!

Nani ni

tissue kwa

siasa?

Ati grand-masako ni wa zamo mpaka alisahau handbag yake kwa Ark ya Noah! 5

6

Ati wewe ni dingo hadi ukipita na fone ya mse hurudi bila feature ya M-PESA!

Ati wewe ni fala hadi ukitaka kumeza dawa wewe hukata kando ndio usipate side-effects! 7

8

Ati wewe ni fala kunasiku ulichukuwa ruler ukaenda nayo bed ndio

uangalie umelala masaa mangapi!

Naskia wewe ni fala siku moja ukiwa kwa court uliskia judge akisema “order in court”

ukaitisha “kebab na coke”! 9

Wasee skizeni

story ya Lenny na

vile alitumiwa na

politicians na

hakulipwa!

Mayuts! Msitumike

ovyo-ovyo! Choice ni

yako! Ukiwa idle utasota,

unakuwa desperate

alafu unakimbilia

doh ya siasa chafu!

10

SKIZA RISTO

YA LENNY KWA

SHUJAAZ.FM

ON 6TH FEB!

Tuma story yako ya

kutumiwa kwa 3008

text ni 5 bob tu

To Register iCow SMS “shujaaz” to 5024

iCow vetinari ni feature ya kukusaidia kupata vet yule

anaishi karibu na mahali ng’ombe wako yuko.

Registration ni free lakini kila sms baadaye ni 5/=

ANSAZ:

1.B, 2.A, 3.C, 4.D, 5.A

6.B, 7.B, 8.A, 9.C, 10.B

LEA

NG’OMBE

NA 5BOB TU!

congratz

ma-winners!

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653

Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Produced in collaboration with:

USAID, Tupange, RIU, DFID-UK, Galvmed & Marie Stopes Kenya. Distributed by Nation and Safaricom.

ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti

ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi

RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko.

Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio

Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval

system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the

publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication,

in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind

without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

This publication was supported by a sub-agreement from Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health with funds provided by

JHPIEGO under a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation. Its contents are solely the responsibilty of the authors and do not

necessarily represent the official views of JHPIEGO the Bill & Melinda Gates Foundation or the Johns Hopkins Bloomberg of Public Health.

11

12

13

14

15

16

17

18

Dem yako ni fala yeye hu vaa pencil na rubber na hapendi kusoma!

19

20

Mdomo wako uko wide we hula maembe kama njugu! 21

22

Kwenyu nyinyi ni wa jinga hadi jirani akiwasalimia muna discuss answers!

skiza show ya gutuka

kwa hizi stations:

kama wewe ni

victim wa violence au

rape tuma sms au call

1195

na watakushughulia

pap!

hii namba

Ni sare!

Ati naskia wewe ni mpyenga hadi wewe huenda mountain hike kwa pevu! 23

family yetu ilikuwa ya kawaida tu. nilikuwa

first-born. Hatukuwa na dooh mob, so sikuwa

na vitu poa kama vitabu na nguo zenye mabeste

wangu walikuwa nazo.

nikiwa seco, kuna rafiki wangu

mwenye nilimu-envy sana maisha

yake poa.

akani introduce na kuni-recruit

kwa gang.

Fuata Steps

Za Kutoka

Kwa Gang

Miaka: 21

Wax: Carpentry

24

Ati wewe ni fala hadi ulidangaya jina yako kwa exam!

Ati wewe ni fala hadi ulienda kutafuta simu iko na whitetooth! 25

ulihepa

gang

aje?

siku moja tulikuwa

tunaenda ku-rob supaa

fulani. nilivaa jumper

tofauti badala ya hood

za kawaida. kazi yangu

ilikuwa ku-scout hiyo

area...

...lakini mmoja wa

gang-members alinisukuma

akaingia supaa na

gun aka-show wasee

walale chini. hakujua

kulikuwa na

ma-plain-clothes

hapo ndani.

shootout ikaanza.

nilijirusha kwa sakafu

nikiogopa nitakufa! nilikuwa

nafikiria, ni lazima nitoke kwa

hiyo situation! nilitaka ku-make

something of my life, si hizi

stori! kila mtu wa gang alikufa

hiyo day, including hao top

members.

mimi nikaenda home.

nilikuwa traumatized.

nilingoja nyumbani mmoja

wa gang aje kuni-punish,

lakini hakuna

mtu ali-come.

a month later nilirudi

kwa hideout nikawa-show

sirudi, nime-change life

yangu. nilikuwa nimeanza

kuenda church nika-get

saved.

nilikuwa lucky juu

hao ma-boss wa gang

walikuwa wamekufa na

members mpya bado

hawakuwa na power, so

nilikuwa free!

26

Ati wewe ni mzee ulijua dead sea ikiwa mgonjwa!

ulifanya nini

ulipoacha

gang?

niliweza kupata kazi

kwa carpenter fulani

jirani wangu, alinisaidia

kwa hiyo transition ya

kurudia maisha

ya kawaida.

na society

iliku-treat

aje?

hakuna mtu alijua

nilikuwa kwa gang, ama

ni nini nilikuwa na-do,

juu hatukuiba kwa

majirani wetu.

boss wangu

hakupenda

kuona ma-youth

wakibangaiza tu,

alitaka kuwasaidia

kupata kazi.

sikum-show ni nini

exactly nilikuwa nafanya,

lakini nilisema past yangu

haikuwa poa sana, na

nilitaka ku-move on.

alielewa, akanipa

hiyo opportunity.

Naskia ati nyi ni ma sonko design nyi huanika ma nguo kwa line ya Orange! 27

usiingie gang, hakuna njia ya

kutoka.ni kifo tu. vile nili-escape

ilikuwa miracle.so, ujichunge,

usiamini hizo stori za hiyo kuwa

njia ya kipekee ya kupata maisha

poa. kuna hope. pata time poa ya

ku-escape na kuhepa mbali

kuanza maisha mpya.

uki-encounter gang,

usipigane nao. fanya

venye wanaku-show tu.

usiwaangalie kwa uso, na

ukiwa-recognize

usiwa-show.

28

Ati we ni mang’aa hadi ile siku ulikua unazaliwa ulisema

stoki na stoki uchi hadi nivalishwe nguo!

Hii story ya I.Dickson ni noma

hadi detail zingine tuli-censor.

kama unataka hii info ju ya operation

za ma-gang text jina

“GANGS”

na address yako kwa

The first 1000 people

watatumiwa

‘Fuata Steps’

Guide!

Au ukitaka radio recording,

soft copy na videos enda

u-download kutoka

www.shujaaz.fm

Macho zako ni red, design ukicheki dishi inaiva! 29

30

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!