21.10.2015 Views

Chapter 39

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

3

4

Sisi kama mayuts tunafaa tu-decide venye tunataka, sio ku-decidiwa na politicians,

we are ourselves and not anybody business. John Mwangi 5

6

DJ Boyie mi ni mgeni kwenye hii kurasa yako ni M-Tanzania, ni muda wa wa-Kenya na Afrika

Mashariki kuacha mambo ya ajabu. Ukabila na siasa chafu sio muda wake huu. Hittu De Don

Enyewe ina faa,sanasana mayutz tujue siasa zinakam, zitapita na sisi tubaki. Moses Wanjaler 7

8

Hapo umeongea Dj b. Watu wanatumiwa kama wanyama na ku-realize its too late.

We need to focus na tuwe macho. Tonny Fc

9

iCOw - ongeza maziwa ya ng’ombe

ukitaka ku-register iCow tuma SMS “shujaaz” to 5024

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya.

Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke.

Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Produced in collaboration with:

USAID, Twaweza, RIU, DFID-UK & Galvmed. Distributed by Nation and Safaricom.

ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa

PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau

RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah

FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko.

Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio

Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any

retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior

permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information

contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect,

consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with

the use of the information in this publication. 10

12

Sure tusikubali mtu atu-definie our destiny, ma own definition ndo poa! Izoh Young

Ukabila iliumiza wasee

wengi hiyo 2007/08. Wasee

wengi walipoteza lives zao.

Utapata hao wasee wenye

wali-organize hizo vikundi

walikuwa na machungu na

msee wa tribe ingine.

Na badala yaku-express

vi-positively, wali-express

vi-negatively of which ili-affect

wasee wengi innocent. Mi ka

kijana, nilitaka ku-make sure hii

election ya 2013 itakuwa

poa, bila vita.

Shujaa wetu Malkia ali-encounter tribalism kwa

sekta yake kwa shujaaz mag chapta 7!

So

tukaanzisha Amani

Kibera na campaigns mob

za ku-promote peace,

kama Ukabila Ni Ujinga

Campaign!

Amani Kibera ni

organization ya Community yenye

inadeal na stories za peace through

sports na education. Inakuwa run na

mayuts volunteers, na wasanii wa

mtaani kama TK na Yellow

Boy).

13

Stand up against corruption coz it’s so costly even our grandchildren will have

to pay 4 today’s corruption incidences. Kevin Opana

Manze ile kazi unafanya ina nibamba tu sana. Uko juu tu sana. I hope to join you soon.

May God bless you abundantly. Diana in Muranga 14

Hatukuwa na dooh mob

ya ku-book hawa wasee kwa

hotels. So tukawaweka wakae na

host families. Siku ya tourna

wasee walicheza foota,

ma-artists waka-perform na

tuka-have procession through

Kibera yaku-promote Ukabila

ni Ujinga.

Kuna wasee

walikataa kukamu. Kuna wengine

nao wali-say ati hawajiskii kuishi

na wasee wa kabila zingine sababu

tulikuwa tunachanganyisha wasee.

Ungepata mjaka anaishi na mkao.

Mara ya kwanza, tulikuwa

tunahofia hizi differences

zita-cause problems.

Hatukujua campaign ita-work vipoa hivo kwanza sababu wasee wa makabila different walikuwa wanaishi pamoja. Lakini,

by the time hii tourna ilikuwa inaisha wasee walikuwa wamekuwa mabeshte na hao wasee walikuwa wanaishi nao. Hizo

differences za kabila zilipotea vile watu walitambua kabila ya mtu haijalishi!

yule kijana charlie pele alijaribu ku-challenge tribalism kwao,

pia! cheki hadithi yake kwa shujaaz mag, chapta ya tatu ya series

yetu ya N.C.I.C.!

kitu inaweza kaa

impossible, kama watu

wa kabila tofauti kukaa

pamoja, lakini ukiwa na

ndoto kubwa unaweza

kuwa surprised na

chenye itafanyika!

15

Unamulika na ku-unite mayutz globally, moreover u are a peace maker, hope you

will win Nobel peace prize. Big up DJ Boyie. Jaminka DE Satmin

Get to the grassroots. Get 1st hand in4mation. Assess the needs. Decide on ua priorities.

Meet the most important needs. Then, find a lasting solution if possible. Ft Karis

16

17

18

It’s no one’s choice u know f ths pepo are gven a chance they cn make t n lyf. Brenzy Masdelica Nancie

maria kim

naweza

kupeleka out

baadaye?

nimempata leo!

huyu brathako na

wenzake wana

tabia mbaya sana!

sawa.

umenipeleka

out mara

mob...

una-try

kunikatia?

ehe...

ehe...

woi!

woi!

kwisha

mimi!

bryo!

umefanya

nini?

mwambie!

tulirusha mawe

kwa salon...

usikuwe mkali sana.

unajua wavulana hivo

tu ndio wao huwa!

hebu ingia kwa

nyumba! lazima

nitaku-punish!

bryo, mbona

ulikuwa

unarusha

mawe?

kina robe na

cyro walisema

nikirusha mawe

watanikubali

niwe kwa gang

yao...

gang!

unataka

kuwa kwa

gang?

bryo

usisikize hizo

stori zao

kama unataka

life yako iwe

poa.

sawa.

usiku...

19

20

Hats off for Shujaaz and DJ Boyie. Alfred Nduto

I think hao ma-vulnerable youths wanaweza kuji-recruit wawe peace ambassadors wa-preach peace

coz beyond that peace ndo watarudi kusoma na kuhustle maday zipite. Abdukarim Jamal 21

at the County

Assembly Public

forum ...

mimi ndio

representative

wa hii ward.

ningependa

kujua chenya

mnahitaji, na nitaenda

niambie governor

wetu.

tunahitaji

sana

barabara!

tusipo fanya kitu

kusaidia watoto wa hii

area, watapotea na

waingie kwa life ya

crime na kulewa! hii

area haita-develop!

tunahitaji pesa ya

kutengeneza football

club, place ya sports

penye watoi wanaweza

spend energy yao na

kuwa involved na vitu

positive!

wenye

wana-support

kujenga barabara,

mikono juu...

wenye

wana-support

kujenga amenities

za kusaidia watoto,

mikono juu...

watu hawataki

ku-support idea

yangu.

22

23

24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!