06.11.2015 Views

Chapter 44

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

unajua, mtu yeyote

mwenye atakukopesha

dooh atataka kujua vile

atabenefit.

unajua hizi stori

zote aje?

experience! nimekuwa

nikiuza sweet potatoes

miezi kadhaa sasa, na kila

mtu anazinunua!

sijawai fikiria naweza

funzwa na bro mdogo!

najua!

nitakukopesha soo

tano ukinilipa ngiri

kesho!

grr! wewe ni

conman!

mimi si

conman! niko

poa bizna tu.

utafanya

nini na hii

dooh?

nataka kuwa msoo kama...

28

Ur encouragements imeni-nice sana mpaka nimeunda football club. Tunakutananga na maboiz

2nacheza game halafu nawa teach kuhusu drugs na kusare pia. Ur my rolemodel. Joseph Muthoka

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!