You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
taabu! hiyo haitawai work! itabidi

uanze na bizna ndogo mpaka

i-grow, so kwanza ufikirie penye

unaweza kuanza... steps

ndogo tu...

kumbukeni,

haba na haba

hujaza

kibaba!

uko na

kuku ngapi

sasa?

nne.

hehe

hehe!

mbona

unanisengenya?

si unishow nini

kufanya?

unafaa kuwa

realistic:

uanze na kuku

chache na

uongeze pole

pole.

sina dooh za

kununua hata

kuku moja extra

na ukinipa soo

tano unataka

ngiri kesho?

si basi uombe soo

moja kutoka kila

bro, soo tano hizo,

nikuongezee moja,

na utulipe 110

baada ya kuuza

kuku?

interest

ya ten

bob.

interest?! wah,

hiyo stori inanitisha...

sasa nitamake dooh

aje?

ukinunua kuku

mbili, moja ni

soo tatu,

halafu uuze

kwa soo

tano,

utakuwa na

ngiri moja, pesa

mfukoni.

halafu ukilipa hizo

deni za akina bro,

yenye ni 660 bob,

utabaki na 340 bob

profit!

Enyewe,wasee hawafai kuchagua jobs,kuna wale husema jobs kaa hizo ni za uchafu

bt kazi ni kazi bora inakupa doh na ni halali. Gladys Maloba 29