11.11.2015 Views

Chapter 60

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Happy 5th birthday DJ B! Huku Jongo life ni

busy sana, hakuna venye si hukosa drama, poa na

zingine mbaya pia. Hebu cheki hawa wasee wenye wame

touch Jongo hii mwaka imepita.

KUMULIKA JONGO

Simo ni fala sana. Alikuwa na bizna fiti but hakuwa serious.

Ali-have sex na madem wengi bila protection na walim

sumbua na dooh za ku-support hao watoi. Juu ya kuwa

careless ali lost bizna yake. Sitaki kumake the same

mistakes najua ku-protect plans zangu.

JINA: SIMO

AGE: 40+

JOB: EX OWNER WA

HUSTLAS PUB NA MSEE

WA DEALS MBAYA

mmmhh! Mkono Gum si ni m-hot na bizna yake iko

successful tu sana. Ameunga na analike madem wenye

hutumia protection pekee. Ni chali mgani kama yeye, hata

mimi siezi taka ku-mess future yangu kwa kuget mtoi

kama siko ready na kumess na hustle yangu.

16

JINA: MKONO GUM

AGE: 22

JOB: OWNER WA

HUSTLAS BAR

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!