18.01.2013 Views

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

Taarifa ya Wakurugenzi kwa Mwaka ulioishia

31 Desemba 2008

Wakurugenzi wanayo furaha kuwasilisha taarifa yao pamoja na hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka ulioishia 31 Desemba

2008.

Shughuli kuu

Shughuli kuu ya Kampuni ni uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa saruji.

Wajibu wa Wakurugenzi

Kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni Na.12 ya mwaka 2002, ni wajibu wa wakurugenzi kuandaa hesabu za Kampuni

kila mwaka zenye kutoa hali halisi ya Kampuni kifedha mwishoni mwa kila kipindi.

Wakurugenzi wanathibitisha kwamba katika kutayarisha hesabu ambazo zinaonyesha hali halisi ya Kampuni kila wakati,

wametumia sera na kanuni za kiuhasibu zinazohakikisha kuwa hesabu zinakidhi matakwa ya viwango vya kimataifa vya

utayarishaji hesabu na taarifa za fedha. Hesabu zimeandaliwa kwa kuzingatia kuwa Kampuni itaendelea kufanya shughuli

zake kwa muda mrefu ujao.

Wakurugenzi wanawajibika kutunza vitabu na nyaraka za kiuhasibu zenye kuonyesha hali halisi na sahihi ya Kampuni

na kuhakikisha kuwa hesabu zinazotayarishwa zinaendana na matakwa ya Sheria ya Makampuni Na.12 ya mwaka 2002.

Wanawajibika pia kuhakikisha kwamba mali zote za Kampuni ziko katika hali ya usalama na kuweka mifumo ya udhibiti

wa shughuli za Kampuni inayofanya kazi ya kuzuia au kugundua wizi, ufujaji au makosa kuwa rahisi.

Wakurugenzi

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wakati huu ambao wamekuwa wajumbe katika kipindi chote cha mwaka 2008 ni

hawa:

Bw. Jean-Marc Junon Mfaransa Mwenyekiti

Bw. Klaus Hvassing Mnorwei Mjumbe

Bw. William Mlaki Mtanzania Mjumbe

Bw. George Fumbuka Mtanzania Mjumbe

Bw. Daniel Gauthier Mbeljiji Mjumbe

Bw. Arne J. Selen Mnorwei Mjumbe mbadala wa Daniel Gauthier

Bw. Ola Schippert Mswedi Mjumbe

Wajumbe wote wa Bodi siyo watendaji katika Kampuni, isipokuwa Bw. Klaus Hvassing ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji.

Wakurugenzi Wanahisa

Bw. William Mlaki ana hisa 49,927 katika Kampuni

22

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!