TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement
TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement
TPCC Annual Report 2008.indd - HeidelbergCement
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Walemavu

Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2008

Ni sera ya Kampuni kutoa fursa sawa kwa walemavu katika ajira pindi nafasi za kazi zinapojitokeza.

Mikutano ya Bodi

Bodi ilifanya mikutano minne ya kawaida katika mwaka husika

Misaada

Kampuni ilitoa misaada ya hisani yenye thamani ya TZS 160 milioni katika mwaka husika. Hakuna misaada iliyotolewa

kwa vyama au makundi ya kisiasa.

Gawio

Wakurugenzi wanapendekeza gawio la TZS 12.6 bilioni kwa wanahisa wake (TZS 70 kwa kila hisa) kutokana na faida

iliyopatikana. Pendekezo hili limezingatia uwezo wa kampuni na haja ya kuurejesha mkopo uliotumika kugharamia ujenzi

wa kiwanda kipya. Kiwango cha gawio kinachopendekezwa ni ongezeko la asilimia 63 juu ya gawio la mwaka jana na ni

asilimia 36 ya faida ya mwaka husika.

Wakaguzi wa Hesabu

Wakaguzi wa hesabu kwa mwaka 2008 walikuwa Ernst & Young.Wameonyesha nia ya kuendelea na wadhifa huu na

wana sifa zote zinazohitajika. Azimio la uteuzi wa wakaguzi wa hesabu litawasilishwa kwenye Mkutano wa Mwaka wa

Wanahisa,

Imetolewa kwa amri ya Bodi

George Fumbuka, Mkurugenzi Jean-Marc Junon, Mwenyekiti wa Bodi

Tarehe: 18 Marchi, 2009

25