28.01.2015 Views

orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...

orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...

orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO

MKUTANO WA TISA

KIKAO CHA SITA – TAREHE 6 NOVEMBA, 2012

I. MASWALI:

OFISI YA WAZIRI MKUU:

67. MHESHIMIWA GOSBERT BEGUMISA BLANDES

(KARAGWE):

Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:- Mji mdogo wa

Omurushaka Wilayani Karagwe unapata maji kwa

asilimia 0 (0%), na Halmashauri ya Wilaya Karagwe

haina uwezo wa kupeleka huduma ya maji kwenye mji

huo kwa sababu kiasi cha shilingi Bilioni moja na nusu

zinazotakiwa kupeleka maji kwenye mji huo haziwezi

kupatikana toka kwenye Halmashauri:-

Je, Serikali iko tayari kwa upendeleo na huruma

maalum kutenga fedha za dharura za kuwapatia maji

wananchi wa Omurushaka na vitongoji vya

Nyakahanga, Bugene na Kishao.

2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!