28.01.2015 Views

orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...

orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...

orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

68. MHESHIMIWA HALIMA JAMES MDEE

(KAWE):

Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:- Shule za

umma zinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwa

ni pamoja na upungufu wa walimu, madawati,

vitabu, vifaa vya TEHAMA na Maabara:-

Je, Serikali ina mikakati gani mahsusi ya muda

mfupi na mrefu kukabiliana na changamoto hizo.

WIZARA YA UCHUKUZI:

69. MHESHIMIWA JOYCE JOHN MUKYA

(VITI MAALUM):

Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Uchukuzi:

Mwezi Agosti, 2012 Serikali ilitangaza kuzuia

utaratibu wa abiria kuchimba dawa njiani wakati

wanaposafiri na mabasi ya abiria:-

(a) Je, ni sheria gani ilitumika kutoa tamko hilo;

(b) Je, Serikali imeweka miundombinu gani

mbadala kuwezesha huduma hiyo muhimu

kwa wasafiri;

3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!