orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...
orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...
orodha ya shughuli za leo mkutano wa tisa kikao cha sita 6 ...
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA

MICHEZO:

74. MHESHIMIWA RAMADHANI HAJI SALEH

(BUMBWINI):

Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana,

Utamaduni na Michezo:- Michezo ni sekta muhimu

nchini na inaweza kuleta faida nyingi kama vile

kuongeza mapato ya Taifa, kuitangaza nchi yetu na

kutoa ajira kwa vijana wengi:-

Je, Serikali itawekeza lini katika michezo.

WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA

TEKNOLOJIA:

75. MHESHIMIWA WARIDE BAKAR JABU

(KIEMBESAMAKI)

Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Mawasiliano,

Sayansi na Teknolojia:- Bidhaa chakavu za

kielektroniki ni hatari kwa afya ya binadamu na

mazingira kwa ujumla:-

(a) Je, Serikali inachukua hatua gani za kudhibiti

bidhaa hizo kutoka nje ili Tanzania isifanywe

jalala la kutupia bidhaa za aina hiyo;

(b) Je, Serikali ina mikakati gani ya kuangamiza vifaa

chakavu vya aina hiyo ambavyo sasa vimezagaa

kila sehemu ya nchi yetu.

7