CONSTITUTION OF KENYA REVIEW ... - ConstitutionNet
CONSTITUTION OF KENYA REVIEW ... - ConstitutionNet
CONSTITUTION OF KENYA REVIEW ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
9 TH OCTOBER 2002

DISSEMINATION OF REPORT AND DRAFT BILL, GATUNDU NORTH CONSTITUENCY, HELD AT

MANGU CATHOLIC HALL, ON 9 TH OCTOBER 2002

Present.

1. Com. Wanjiku Kabira

Secretariat Staff in Attendance

Meeting was called to order at 11.00 a.m.

1. George Wachira - Asst. Programme Officer

2. Josephine Ndung’u - Verbatim Recorder

3. Stephen Wanyoike - District Co-ordinator

Stephen Wanyoike: Muri ega? Gweciria nitukwambiriria riu. Njurie andu aria meharia thutha mokoke. Niturageria

kuheo kameme karia karagia nigetha tuiguane. No niwega gwokoka. Nigetha twambiririe, noturie mundu umwe,

mutumia kana mwanake, kana muthuri, kana o muiritu atuhoithie mahoya nigetha turute wira.

Prayers: Natuombe. Baba wa Mbinguni katika jina la Yesu Kristu twaja mbele zako wakati huu. Tunakushukuru kwa vile

imekupendeza ukatupa uhai, umetulinda na umekuwa pamoja na sisi. Tunakushukuru kwa vile umeendelea Baba wa rehema

kutupa nguvu hata ya maisha. Na siku ya leo ukatuleta katika kikao hiki, ili tuweze kujadiliana juu ya Katiba yetu ya taifa hili la

Kenya.

Tunakushukuru kwa wazee, kwa wamama, kwa vijana, na kwa wote ambao wameweza kufika hapa ili siku ya leo tuweze

kujadiliana na tunakuomba ya kwamba tunapongea, kila mmoja wetu ukatusaidia kuheshimu mwingine, na pia tukasaidia wale

ambao tumesimamia katika vikundi mbali mbali pahali tumetoka.

Tunaombea hasa wale ambao wako njiani wakijaribu kujiunga nasi, ili ukawalinda katika safari zao, na siku ya leo ambayo tuko

hapa, ukawa pamoja na sisi. Tunaombea vikao vingine ambavyo vimekutanwa, ili Mfalme wa Mbinguni katika mambo haya

2