CONSTITUTION OF KENYA REVIEW ... - ConstitutionNet
CONSTITUTION OF KENYA REVIEW ... - ConstitutionNet
CONSTITUTION OF KENYA REVIEW ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Mimi nimeshangaa, watu katika serikali hawajasoma hii draft hata kidogo. Ningewasihi pia muwapatia kila ofisi, kila moja wao

at least apate kuona hiyo mambo. Alirudishiwe hilo jambo na mtu mwingine, ni nani alimwambia? Kusema kweli Sunkuli

hajasoma hiyo.

Jambo lingine ambalo nigetaka munisaidie, commissioner na wengine wenzetu ni kwamba iwapo tutaenda kwa uchaguzi na

katiba iliyoko sasa. Of course Kibaki amekubali twende na hiyo. Moi amekubali twende na hiyo. Iwapo tutaenda na hiyo na

baadaye six months later katiba mpya iweko. Sababu tunauwezo sisi kama watu kuifundisha hata baada ya elections.

Tunauwezo kama watu wangu. Iwapo tutairudisha hapo na baada ya six months, bunge litakalokuja liseme sasa katiba iko

tayari. Je, tutavunja Bunge na serikali ndiyo tufanye uchaguzi tena chini ya katiba mpya? Only six months later after a vigorous

exercise, having spent all the money?Hiyo ni jambo moja.

Jambo lingine ni la kisiasa. Wakati tulikuwa tunaenda katika process kuangalia mambo hii, tulikubaliana kwamba, hakuna siku

moja process itakuwa influenced na politics. Na ninawashukuru kwa sababu this is a very technical issue, it is not political.

Lakini mimi ninamshukuru Moi ingawa hapo mutaangalia mimi vibaya. Wacheni niwaambie, mimi namshukuru Moi. Moi alikuwa

mtu wa kwanza kuona, unless Parliament as an organ of Constitution Review Process, iongezwe muda, hakuna wakati tutaenda

uchaguzi chini ya katiba mpya.

I have been following, I have been with professor in so many forums even before she became the commissioner and I know, sisi

watu wa Kenya, tunachukuwa mambo. Wakati KANU inasema chochote, as long as it is KANU, ni mbaya. Hata mimi

nimekuwa namna hiyo. Na wakati sisi tunasema kitu, in opposition, as long as ni sisi, ni nzuri. Sasa tumefikia wakati oppostion

wanatuambia mambo mengine ya uwongo, na tunachukuwa sababu kama ni KANU ingekuwa imesema, tungepotea.

If we would have followed what Moi suggested we extend the Parliament for the next five months, hatungekuwa na hii crisis.

Tungengojea waongezewe, na Parliament as an organ, - do we have to go to the elections with a new constituton?

Jambo la mwisho ni swala ambalo nigetaka kuuliza. Katika hiyo draft, nimeona remaining cabinet ministers must be appointed

by the president. I do not know the remaining watachaguliwa na nani.

Stephen Wanyoike: Okay. Thank you very much Mr. Mungai. Let us have number four.

Jambo la mwisho ni swala ambalo nigetaka kuuliza. Katika hiyo draft, nimeona remaining cabinet ministers must be

appointed by the president. I do not know the remaining watachaguliwa na nani.

Stephen Wanyoike: Okay. Thank you very much Mr. Mungai. Let us have number four.

50