constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
12

medical care na community service.

Na, upande mwingine ni wa disabled people: Watu walemavu, ukiangalia sana upande wa serikali watu walemavu

wamewekwa kando kidogo, haoni watu kama sisi na wanaitaji mapenzi na kushugulikiwa, na pia wanahitaji medical attention na

they should be given a chance to express themselves as in, unaweza pata walemavu wako na talents zao, hao wenyewe, zile sisi

watu normal hatuwezi kufanya, kuna zile hao wanaweza fanya kama kuchora, kuchonga mbao na kazi ya carpentry.

Pia ningependa kumalizia na government; the governement should improve the welfare of the street children through

identification of the

() and provision of necessary support. Sina mengi ya kusema Asante.

Com. Nancy Baraza: Hao watoto, sa zingine huwa tunasikia kuwa hata wakiwapatia mahali pa kuishi hawataki, hiyo ni kweli

au tunadanganywa tu

Timothy Major: Hiyo ni kweli, kuna wale hawataki kabisa hata mambo ya masomo kwa ajili wameshazoea ile life ya inje,

sasa kabla uwajukuwe uwaweke pamoja ama uchukue kijana wa inje, ule chokora umwambie unataka kumsomesha ama

apelekwa shule fulani, ataona sasa ni kama akienda kule itakuwa ni mambo na kuteswa, lakini wengine wao, kazi yao tu

wanataka pesa na wajinunulie zile vitu wanaitaji kama glue na vitu zingine. Lakini kusema kweli hao vijana wetu wanaitiji

masomo sana, na kama serikali inataka kuwasomesha hawa watoto, hakuna aja ya kuwachukua pale inje wawaforce

kuwasomesha, wawachikue nawawapeleke kwa hizi institution na wawapatie hizi courses za carpentry, mechanizal na vitu

vingine. Asanti

Dalmas Momanyi: Kwa majina mmesikia ni Dalmas Momanyi, kutoka the local Youth Council of Ziwani. Kwanza

ningetaka kusema hivi, kama ingewezekana wakati uchaguzi inakua uko katika parliament, at least ministers wanatakikana

kuchaguliwa na watu sio kuchaguliwa kama raisi wetu anamchagua, namweka seat, kama wewe umekuwa Minister wa Finance

na tena watu hawajakuchagua, kwa hivyo inastahili, kama umechaguliwa, uchaguliwe na watu. Na kama pia ingewezekana,

ukiwekwa kwa hiyo ministry, tukipata hiyo ministry yako ina corrupt, inatakikana wewe upelekwe kotini, kwa vile unatumia

pesa za serikali zote, ikifika wakati wako inapatikana hakuna pesa huko. Kwa hivyo at least, kama ingewezekana, kama

ukiwekwa kwa ministry yeyote, inastahili at least ufanye kitu ambacho kitawanufaidi wale ambao ni raia, si unaenda uko, kazi

yako si kugrap pesa za serikali, hiyo haiwezekani, kama ingewezekana, unatakina uchaguliwe na watu, na tukiona hiyo ministry

yako inacorrupt, inatakikana upelekwe kotini.ulipe zile pesa zote, ndio tuepuke tabia kama hiyo.

Uchumi: Sisi kama raia hatuna pesa kabisa, saa hizi uchumi ni mbaya, tunataka at least kama ingewezekana hii uchaguzi ikuwe

vile waliipangwa, five years maximum, sio kubadilisha maneno ingine. At least saa hii tunataka, kama ingewezekana election

isikuwe extended towards April. Saa hizi, kama sisi, ukiona, raia hawana pesa hata kidogo zaidi. Tungetaka hao politicians

watoe zile pesa ambazo walikuwa wameweka.