04.01.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

22

All courts, including the magistrate court should be constitutional.

David Mburu; Ningependa kuanza na masomo, upande wa masomo ningesema ya kwamba, ingekuwa ni la muhim ama

lazima, masomo iwe niya bure kutoka pre-unit, nursery school, mpaka 1 st degree, alafu mtu akitaka swendelea, hapo mtu

anweza lipa. Tu kisema ni ya bure, tunamaanisha malipo iwe ni zero, akuna kitu chochote anacho daiwa. Hata ikiwezekana

uniform iwe ni mavazi ya nyumbani.

System ya 8.4.4, haisaidii watoto wetu, kimaisha, turudu syste ya mbele ambayo ni standard seven high school mpaka

university,. Pia isiwe chancellor wa university ni president wa inchi, tuwe na vice chancellors ndio wanasimamia university, raisi

hanyanganywe uwezo wakusimamia masomo, kwa vile haina maana, unaweza pata president mwenyewwe hana degree na

ansimamia masomo amaye ye mwenyewe hajapitia.

Matibabu; Kenya ni moja wapo ya nchi zinazolipa codi kubwa zaidi katika ulimwengu, kwa hivyo, msiulize pesa zitatoka wapi,

pesa iwe ni kodi yetu ambayo tunakatwa hata saa hii, na ndio inatufinya vile tuko, tuendelee kukatwa kodi vile tumezoea bila

kuongezwa. Lakini sasa kazi ifanyike vile tungependendelea ifanyike.

Matibabu iwe ya bure, nikisema bure iwe ya kwamba matibabu, kuona daktari na madawa. Kama hakuna dawa upewa

prescription, ambayo iko na mhuri wa serikali, ili ukienda nayo na chemist, upewe dawa na chemist ilipishane na serikali na

ikikosa ivo mtu ashtakiwe mahali fulani katika iyo system.

Umasikini; umasikini, inajulikana ni thahiri ya kuwa tunajifunia tulicho naojo, na sisi tunajua nunajivunia zaidi, ukulima, tungesema

ukulima uhimizwe na kitu yo kwanza maji itolewe kutoka Indian ocean, lakes zote zile tuko nazo, mabahari yote, irrigation

ifanywe kwa mashamba na hiyo yote ifanywe na serikali, tusilipishwe hata ndururu. Na isitoshe, mareli zipelekwe kwa kila

sub-location, kila kijiji, iwe na railway line. Ili tuepuke mambo ya el-nino na mashimo wakati kumenyesha.

Tuna mimea kama bangi, kuna inchi ambazo iko legalized na inapandwa hapa kwetu Kenya, bangi iwe for export, ikubalishwe.

Kwa vile inatumika katika madawa na hata hosipitali, iuziwe inchi zile zile zinataka kununua na itasaidia upande wa economy ya

inchi yetu Kenya.

Vitu kama ivory, ya wanyama wamekufa isrudi kuchomwa, iuzwe kwa inchi zile zinaweza ku zimanufacture, kwa vile inakuwa

pointless, tunauziwe ushanga wa ivory hapa na sisis weenyewe tunachoma ivory. Vitu kama hizo na ngozi za nyoka ziuzwa kwa

inchi ili zi enhance economy.

Tuwe na super scale. Hii ni mtu kufikisha bilioni moja peke yake, akipitisha bilioni moja, mali yako inatawiliwa na serikali na

itumike kufacilitate masikini ambao wako kwa inchi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!