constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
2

29 TH May 2002

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION

CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, STAREHE CONSTITUENCY, HELD AT KARIOKOR SOCIAL

HALL, ON 29 TH MAY 2002

Present:

1. Com. Nancy Baraza

2. Com. Dr. Mohammed Swazuri

3. Com. Bishop Bernard Njoroge

Secretariat Staff in Attendance:

1. Eunice Gichangi - Programme Officer

2. Christine - Asst. Programme Officer

3. Hellen Kanyora - Verbatim Reporter

4. Lucy Otieno - Sign Interpreter

The meeting started at 9.30. a.m. with Com. Nancy Baraza in the Chair.

Speaker: Nafikiri tutaanza mkutano wetu na maombi.

Speaker: Baba Mungu wetu utupendaye, tunakuomba kwamba, tumekusanyika hapa siku ya leo kutoa maoni kuhusu katiba

yetu. Baba Mungu wetu tunakuomba uwe nasi tukianza, utuongoze na utulinde. Maoni yote ambayo Baba tutatoa yawe

yanatusaidia katika maisha yetu na katika katiba yetu. Tunajua kwamba utakuwa nasi na utatusaidia na kutulinda na

kutuongoza mpaka tutakapomaliza. Uwe mwenye kiti kwa yote ambayo tutafanya, mpaka tutakapomaliza kikao hiki.

Tunaomba katika jina la Yesu Mwokozi wetu. Amen.

Com. Nancy Baraza: Hamjambo wananchi, hamjambo tena. Mimi ningetaka kuwakaribisha kwa hiki kikao hapa Kariokor.

Jina langu ni Nancy Baraza, Commissioner na mwenzangu hapa ni Com. Dr. Mohammed Swazuri. Tuna-expect Commissioner

Bishop Benard Njoroge; jana alikuwa mgonjwa lakini sijui kama hata sasa yuko mgonjwa lakini tunamtarajia.

Kulingana na sheria ambayo inahusika na kurekebisha katiba, ningetaka kutangaza kwamba huu mkutano ni mkutano halali wa