04.01.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

42

Speculation in land is that people get land for security purposes and not amking use of them.

Interruption: Where should the outlet type of land lie

It should be with the state as a trustee of the people, not the government because it is a transitional body, which comes and

goes but the state remains.

Allocation of land; I believe, we should allow the local authorities to be the ones in charge of allocating land, whether you need

it to built a house or you need it to run a industry, whatever it is. If the is a dispute, there should be a tribunal which will decide

wheter your application has been rejected for a good reason or not for a good reason. However, we should not have

individuals with interests being responsible for allocating land.

Joseph Maina: Asanteni sana commissioners na wakenya wenzangu.

Inchi yetu; Katika inchi yetu tunlikuwa na nafasi ya vyoo, lakini tunapata kuwa ile nafasi ya vyoo hatuna, imekuwa privatized.

Tukiangalia ya kwamba wale wanao husika, wanasema ya kwamba kuna faida, wakati ile jambo inatengenezwa ivyo. Swali ni

kwamba, katika hao wa privatization, ama wale chokora ambao tunasema ndio walikuwa wa kwanza, na ati walikuwa

wanafanya kazi nzuri. Sidhani walikuwa wanafanya kazin nzuri kwa kuwa hao chokora walikuwa wanamug watu, wakiitisha

pesa. Kulikuja njia ya pili ambapo ilisemekana kutaletwa watu ambao watahusika na kazi itafnayika vizuri. Kwangu mimi

naona, hii ni njia moja ya grabbing kwa sababu mara ya kwanza hizo choo zilikuwa, na zilikuwa zinafanya kazi vizuri. Sasa, ni

watu wagani watafanya kazi mzuri, ni city council au hao watu wa privatization. Hakuna haki kwa wakenya.

Ningependelea nafasi irudi kwa council na wafanyi kazi wa vyoo, wafanye kazi yao vizuri.

Magonjwa; Katika kila estate, kuwa na nafasi ya kujenga hosipitali ili matibabu yapatikane kwa urahisi. Lakini sasa tunaona

kuwa katika zile nafasi, kuna watu wamechukua nafasi na kuzifanya ploti zao, je mwanaicnhi wa kawaida hatabaki wapi

Watoto; mtoto wetu tunamjua kabisa wakati anapotolewa maternity. Tuna pata birth certificate ya kuonyesha ni mkenya, lakini

hatufuatilii kuona ya kwamba shule ameingia vipi, ministry haiangalii. Pengine mzazi wake ni masikin na hana uwezo, na kwa

hivyo mtoto huu ataende shuleni.

Education ministry iangalie mtoto tangu alipo zaliwa. Serikali iwe na jukumu ya kuangalia huu mtoto.

Marcos Asiya: Parliament should be supreme than the president meaning the president should not be above thelaw.

The governement should be clear on the bill of rights; you find that recently that there was a bill, which was passed. This means

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!