10.07.2015 Views

Contents - Equity Bank Group

Contents - Equity Bank Group

Contents - Equity Bank Group

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ripoti ya WakurugenziKwa mwaka uliomalizika tarehe 31 Disemba 2007Wakurugenzi wanafuraha kuwasilisha ripoti yao pamoja na Taarifa yaHesabu za Pesa iliyokaguliwa kwa mwaka uliomalizika 31 Disemba2007 kulingana na kifungu cha 22 cha sheria za Benki na kifungu 157cha sheria za Makampuni nchini Kenya, ambazo zinabainisha hali yakifedha ya benki.1. SHUGHULIBenki inajishughulisha na biashara ya benki na utoaji hudumaza kifedha na imepewa leseni na Benki Kuu ya Kenya chini yakifungu cha sheria cha Benki.2. MATOKEOLinus Wang’ombe GitahiErnest Mattho NzovuBabatunde Temitope Soyoye****Temitope Olugbeminiyi Lawani***** Msenegalese – Anayebadilishana na Peter Gachuba** Alistaafu kwa zamu mnamo 30 Machi 2007 nakuchaguliwa upya*** Alistaafu kwa zamu mnamo30 Machi 2007 nahakujiwasilisha kuchaguliwa tena**** Mwingereza – Aliteuliwa tarehe 21 Disemba 2007Kifungu cha sheria cha 100 cha Katiba na Sheria za Kampunikinawezesha wakurugenzi kustaafu kwa zamu.Matokeo ya mwaka yamewekwa katika ukurasa wa 23.6. WAKAGUZI3. AKIBAAkiba za Benki zimewekwa katika ukurasa wa 61, ukumbusho 29wa ripoti hii.Wakaguzi wa hesabu za pesa, Ernst & Young, wamedhihirisha niayao ya kuendelea kufanya kazi hii kulingana na Sehemu 159(2) yaSheria za Makampuni nchini Kenya na kuambatana na Sehemu24(1) ya Sheria za Benki.4. MGAO WA FAIDAHalmashauri imependekeza mgao wa faida wa asilimia 40%kuambatana na thamani (ya shilingi 2 kwa kila hisa) iwapowenyehisa wataidhinisha kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka.Wawekezaji wa Helios EB ambao walijiunga kuwa wanachamamnamo tarehe 21 Disemba 2007 hawatapata mgao wowote wafaida wa mwaka wa 2007.5. WAKURUGENZIWakurugenzi ambao walihudumu wakati wa kipindi cha mwakahuo hadi wakati wa kutolewa ripoti hii wameorodheshwa hapochini:Kwa Amri ya HalmashauriMary Wangari WamaeKatibu wa Kampuni22 Mei 2008Peter Kahara MungaJames Njuguna MwangiBenson Irungu Wairegi **Fredrick Mwangi Muchoki **Peter Njeru GachubaWagane Diouf *Beatrice Makanga Sabana***Julius Kangogo Kipng’etich- Mwenyekiti- Afisa Mkuu Mtendaji/Mkurugenzi Mkuu- Naibu-Mwenyekiti2007 Annual Report and Financial Statements 27

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!