10.07.2015 Views

Contents - Equity Bank Group

Contents - Equity Bank Group

Contents - Equity Bank Group

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Taarifa ya Mwenyekiti inaendeleaZaidi ya hayo, Kampuni ya Micro Capital yenyemakao yake Marekani iliiorodhesha benkiyenu kama taasisi bora zaidi ya kifedha baraniAfrika na ya tatu kwa ubora ulimwengunimwaka 2007.Kitaifa, benki yenu ilishinda tuzo zifuatazokwenye uchunguzi wa benki nchini Kenyamwaka wa 2007• Benki bora zaidi ya rejareja• Benki bora zaidi ya shughuli za kifedha• Benki inayokua kwa haraka zaidi• Mshindi katika uvumbuzi wa bidhaa• Mshindi katika shughuli za benki ndogo naza kiwango cha kadri (SME)• Benki ya pili kwa ubora kwa ujumlaTunatoa mafanikio haya yote kwa heshimayenu wanahisa wetu, wafanyakazi, watejawetu na washika dau wetu wote kwanihayangepatikana bila usaidizi wenu.MTAJI WA SOKOBenki yenu imeorodheshwa kwenye sehemumuhimu ya soko, Main Investment MarketSegment (MIMS) kwenye soko la hisa la Nairobi(NSE). Tangu kuorodheshwa mwezi Agostimwaka 2006, hisa za benki zimeendeleakudhihirisha ufanisi bora kutoka kiwango chamwanzo cha mtaji wa soko cha shilingi bilioni6.2 hadi shilingi bilioni 54 kufikia tarehe 31Disemba 2007. Hii iliinua benki kuwa katikakiwango cha kampuni saba bora nchini Kenyakulingana na mtaji wa soko. Tumejitoleakutimiza lengo letu la kuboresha thamani kwawashikadau wetu.UWEKEZAJI WA HELIOS EB INVESTORS,L.P (HELIOS EB)Mnamo tarehe 21 Disemba 2007 mliidhinishauwekezaji wa mtaji wa shilingi bilioni 11 naHelios EB uliobadilishana na hisa 90,516,255 zakawaida ambazo ni sawa na asilimia 24.99% yamtaji wa hisa za kampuni zilizotolewa. Ukuajimkubwa uliopatikana na benki katika nyanjazote za uendeshaji shughuli, ukuaji na ufanisiunadhihirisha umuhimu wa kudumisha mtajiwa kutosha wa shughuli muhimu.Uwekezajihuu uliongeza fedha za wenyehisa na kufikiashilingi bilioni 15 kutoka shilingi bilioni 2.2na kuifanya benki kuwa mojawapo ya benkiyenye mtaji bora zaidi katika kanda hii.UWEKEZAJI KATIKA HOUSING FINANCECOMPANY OF KENYA (HF)Mnamo tarehe 11 Julai 2007, benki ya <strong>Equity</strong>na kampuni ya British-American InvestmentCompany (Kenya) Limited (BAICL) zilinunuakiwango cha asilimia 24.99% cha hisa za CDC<strong>Group</strong> PLC katika HF. Benki yenu ilipata hisamilioni 23 kwa gharama ya shilingi milioni433 ilhali BAICL ilipata hisa 5,635,000. Ununuzihuu uliifanya benki yenu na BAICL kuwawashirika wa kimkakati na wenyehisa dhabitiwa HF, na hivyo kupanua msingi wa wateja nakufungua uwezekano mpya wa kutoa hudumambalimbali za kifedha.DENI LA MUDA MREFU NA WA KADRIWakati wa kipindi cha mwaka, Halmashauriiliidhinisha ukopaji mkopo wa muda mrefuwa shilingi bilioni 4.52 kutoka kwa taasisimbalimbali za kimataifa za maendeleo yakifedha ili kupanua msingi wa utoaji fedha wabenki. Pamoja na hayo, mkopo wa kiwangocha kadri wa shilingi milioni 100 ulipatikanakutoka kwa wizara ya masuala ya vijana ilikukopeshwa wafanyibiashara vijana.UONGOZI WA KAMPUNIWakati wa mwaka unaoangaziwa, Bi BeatriceSabana alistaafu kutoka kwa Halmashauri yaWakurugenzi ilhali Bw. Babatunde Soyoyena Bw. Temitope Lawani , wote wa Helios EBwaliteuliwa kuhudumu katika Halmashauri.Huku nikiwakaribisha wakurugenzi hao wawiliwapya kwa niaba ya Halmashauri, ningependakumshukuru Beatrice kwa mchango wake nakumtakia kila na heri katika yote afanyayo.Taarifa yenye maelezo zaidi kuhusiana naUsimamizi wa Kampuni na Jukumu kwa Jamiiimewekwa kwingineko kwenye ripoti hii.MGAO WA FAIDAHalmashauri inapendekeza mgao wa faidawa shilingi 2.00 kwa kila hisa ya kawaida yashilingi 5.00 kwa mwaka uliomalizika 2007ikiwa mtaidhinisha kwenye mkutano huu.Wawekezaji wa Helios EB hawajahitimu.MATARAJIO YA BAADAYEKama mnavyofahamu, mwaka huu, wa2008 ulianza kwa huzuni wakati nchi hiiilipokumbwa na ghasia baada ya uchaguzina kutatiza uendeshaji shughuli za kawaidanchini. Kwa bahati nzuri, hii haikuathiri sanashughuli za benki isipokuwa kule kukokotakwa uchumi. Hatubashiri madhara makubwakwa biashara kwani makubaliano ya kisiasatayari yameshaafikiwa.Benki yenu imejiandaa kwa ukuaji zaidi mwakahuu. Tutaendelea kuzingatia ukuaji na upanuzinchini Kenya na katika kanda hii.HITIMISHOKwa niaba yangu na ile ya Halmashauri,wasimamizi na wafanyakazi wa benkitunawashukuru kwa usaidizi mliotoa kwabenki kwa mwaka huo wote. Tunaendeleakutegemea usaidizi wenu na kukariri kujitoleakwetu kutimiza malengo ya benki hukutukiendelea kutilia maanani mahitaji ya watejawetu na kujitolea kudumisha maadili yafaayoya uongozi.ASANTEBw. Peter K. Munga, EBSMwenyekitiHalmashauri ya Wakurugenzi2007 Annual Report and Financial Statements 9

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!