12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

14Col. Hastings Muhindi: Asante. Nitaruka moja niongee mambo ya pensioners. Serikali inaona, kwa sababu wanalipwapesa kidogo, kwanza waajiriwa wa serikali. Wakati wanastaafu, na wanalipwa kupitia kwa Bank, kwanza tukumbuke serikalihailipishi kodi, ile pension yao. Lakini ile pesa ikienda kwa Bank, wanalipishwa pesa nyingi sana, service charges, ledger fees,na zile zingine zote. Na wanatakiwa kuwa na sehemu ambayo wanabakiza kwa Bank kama minimum balance. Sasa inakuwani shida kwa yule pensioner, kubaki na chochote katika Bank ya kuweza kumuhudumia. Kwa hivyo tungaliomba, serikali auKatiba hii, iulize wale wenye Commercial Bank, waweze kuwa na heshima kwa wale ambao tunaita retired people, au seniorcitizens, waondolee hizo, kwa kuwaheshimu, kama nchi zingine zinazy<strong>of</strong>anya. Nchi nyingi hazilipishi au Bank nyingi hazilipishikodi hizi.Com. Charles Maranga: Asante, sasa ningeuliza Com. Abida aulize maswali, halafu nitakuuliza moja.Com. Abida Ali-Aroni: Colonel ningependa for record purposes, utujulishe kama bado wewe ni colonel, ama umestaafu.Col. Hastings Muhindi: Mimi nimestaafu, lakini na-retain rank yangu.Com. Abida Ali-Aroni: Asante, tunakaka for record purposes. Sasa, swali ambalo ningependa kukuliza, ningependa utupatiemifano ya nchi ambazo hazitozi hizi kodi ambazo umesema zinatozwa katika Bank. Halafu swali la pili, sehemu nyingi ambazotumetembelea, watu wanaomba kwamba, wenzako ambao bado wako katika kazi, kwa wakati ambapo kuna amani, watumikekwa kutoa huduma badala ya kuketi. Sijui kama wanaketi ama wanakazi ingine wanafanya, unaelewa zaidi. Je maoni yakokwa jambo kama hilo ni nini? Wanaweza kutumika wakati ambapo tuna amani bila kuketi, kwa sababu wananchi wa kawaidawanafikiria huwa wanaketi kule katika barracks?Col. Hastings Muhindi: Asante Madam Commissioner, swali la kwanza siwezi kupeana kinaganaga ni nchi ngapi au ni nchigani, lakini ninajua kuna nchi kama South Africa na kwingine ambako wastaafu wanaheshimiwa, na wanapewa kamarenumeration kutoka kwa formation kwa Bank. Nafikiri ziko nchi tukifanya research tutaweza kuzipata. Hata America ikohivyo, nasikia kutoka kwa huyu.Jambo la pili katika huduma kwa wanajeshi wakati hakuna vita, mimi mwenyewe nikiwa jeshini niliandika paper nikiwa K.I.A.ambayo ilikuwa inagusia hayo. Nilikuwa naielezea kwamba wana mambo mengi wanaweza kufanya, kusaidia katika CivilService. Wana aina nyingi za huduma ambazo wanaweza kutoa. Wako na Engineers, wanaweza kutengeneza mabarabara.Engineers wale wanaweza kupatia watu maji, kwa sababu wako na equipment ya boreholes. Wanaweza kujenga madaraja.Kuna madaktari ambao kuna sehemu zingine za nchi ambako hakuna madaktari. Madaktari wale wanaowasaidia, wakatihakuna chochote kama vita, wanakaa katika barracks na mahospitali zao. Wanaweza kwenda kusaidia kutoa huduma ya afyasehemu ambazo hazifikiki na wengine. Katika hawa Engineers, wanaweza kusaidia ku-open up sehemu ambazo ni closed,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!