12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

75kwa District level, ili rural people na wananchi kwa jumla waweze kufaidika.Now last one. We want citizens, men and women, wale wanachoma mahindi, wale wanauza nyanya, wakuwe taxed. Hatakama watakuwa taxed, wapewe grace period ili mtu aweze kupata faida yake.Com. Charles Maranga: Thank you very much. Hand over your memorandum. Francis Muna. Francis? Wapi Francis?Hayuko? Next one is Ben Gathogo. Karibu. Atafuatiwa na Muraya Mbuthia. Muraya Mbuthia ako? Yes you will be next.Ben Gathogo: Nianze?Com. Charles Maranga: Yah. You start with your full names.Ben Gathogo: Kwa majina ni Ben Gathogo na nina maoni kadha kwa Tume ya Kurekeshisha Katiba, yakitoka kwa thePeople’s Coalition. Mimi ndiye mwakilishi wa Ford People katika mtaa huu wa Nakuru. Kwanza ningesema kwamba, Katibaijayo iwe na Preamble, ama utangulizi ambao utakaoeleza sisi ni akina nani, Tumetoka wapi, na tunanuia kufanya nini kwa nchiyetu. Pili, Katiba yetu iwe na sehemu ambayo kwa Kingereza wanaita Directive Principles of State Policy. Hiyo itawezeshawananchi kujua wakati wowote ambao serikali inatoa propaganda ama uongo wa miaka mitano, kama jinsi ambavyo imekuwakawaida kwa serikali ambazo zilikuwako hapo awali. Kwa hivyo kuwe na Directive Priciples of State Policy, ili serikali hiyoisiseme ya kwamba tutafanya nini kwa kipindi hicho cha miaka mitano ili baada ya miaka mitano, wananchi wajue ni wapiserikali haikufanya jinsi ilivyowahidi.Tatu. Ya kwamba, kuwe na review of the electoral laws. Hii ni ku-defeat the mockery of people’s mandate and bring downthe tyranny of the minority. Hii ni kusema ya kwamba, electoral laws zetu zibadilishwe iwekwe ya kwamba haitachaguliwa naasilimia ishirini na tano kwa kila mkoa. Na pia iongezwe ya kwamba awe na 51% of the popular votes.Tatu. Kwa sababu ya maneno ya gender. Because we cannot make war on half of our population and expect to make a profit,ilazimishwe ya kwamba, kwa kila running mate, ikiwa President ni mwanaume, mwanamke awe ndiye running mate wake akiwakama Vice President na iwe enshrined hivyo.Nne. Ya kwamba katika Constitutionality, our fundamental rights zitiliwe mkazo kabisa. Isiwe kama ilivyo wakati huu,tunapewa haki hizo za kimsingi na mkono wa kulia, na zinatolewa kwa mkono wa kushoto, halafu tunabaki hapo, katikatitukigaagaa. Kwa hivyo kusemekane ya kwamba those Fundamental Rights ziweko, na zisiongezwe vipengele vingine kamakusema Public Rights, Public Morality, Pulic Health etc.Tano. I am against Majimbo because katika Bonde hili ambalo linajulikana kama Bonde la Ufa, wakati watu wa majimbo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!