12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

43mainstreaming, and we would also request that we have an establishment of a Food Commission na iwe na 50% womenrepresentative kwa sababu mambo ya chakula mama ndiye anajua policy.Com. Charles Maranga: Asante sana mama.Magdalene Kipngetich: Na nimemaliza na nimeshukuru sana.Com. Charles Maranga: Asante. Kwa sababu wewe uko na memorandum umeandika vizuri, naona tunaweza tukasomakwa uzuri kabisa. Asante. Weka sahihi. Francis Musyoka. Atafuatiwa na Hesbon Hongo. Ako? Yes be ready.Francis Musyoka: Thank you Mr. Chairman and Lady Commissioner. My names are Francis Musyoka a parent living in thisarea. I would touch on the driving. This review must embrace on driving. Tunajua ya kwamba, waendeshaji wengi wa magarikatika nchi hii yetu ni wale school drop-outs. Wale watu wamesoma wamekataa kujifunza driving. Mimi napendekeza yakwamba driving schools in the country ziwe regulated, na ziwe Constitutionally defended, ili kusitokee mtu ambaye anaendeshagari la abiria au lake, ambaye hajapitia kwa driving school. Tumepoteza watu wetu, Tumepoteza mambo mengi, kwa sababuya hii. Hata wale wako na driving license hapa, nikiuliza wale walienda driving schools, sitapata.Ya pili, this Constitution should also embrace on mambo ya Wakenya kusoma vitabu na magazeti. Hivi majuzi, kulipitizwa Billkwa Bunge ya kusema ya kwamba ukitaka kuandika kitabu ukitaka kuanzisha gazeti, Board ni shilingi milioni moja. Tafadhali,hayo ni maoni ya wachache. Tungependa, nyinyi mkizunguka mpate mawaidha kama haya. Je Wakenya hawataki kusomavitabu, hawataki kuandika vitabu? Na je, watatoa hiyo milioni moja wapi? Na kama kweli hii Bill itakuwa ya kweli, aroundtwenty thousand Kenyans are going to lose employment.Ya pili. Katika budget ya Kenya, ni maoni yangu kwamba, 10% ya hiyo budget itengewe masikini na the jobless. Hii ni kwasababu kulingina na vile nimeona mambo hii ya budget, isipokuwa ile inalipwa mshahara tu ya wafanyi kazi, pesa nyingi ileinatumwa kwa maendeleo inakuliwa. 10%, what have you. 10% ikipewa wale watu jobless, watapewa na watakuwawakijisaidia wakitafuta kazi.Pointi nyingine ni ya Civil Service. Civil Servants should not be forced only to discharge services in their particular departmentsas it is the case today. Let those who are professionals be allowed to exercise their profession where it is required.Ya elimu nitagusia kidogo tu kwa sababu wengi wameongea.Com. Charles Maranga: That should be the last point.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!