12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

17wanafanya nini, na wanaelekea wapi. Kwa hivyo tunasema ya kwamba, tukiangalia hii Katiba, hatukuipata kwa urahisi. Hatawale wazungu waki-release the paper, they never released the paper as easily as that. Walienda kwa sababu kulikuwa namaafa. Wakenya walipigania. Mimi ningependekeza hivi kwa hii Tume ya leo ya Katiba, Katiba ambayo tunatakakuitengeneza, na we hope that you don’t have a draft paper, that maybe you are comparing our views with a draft paper youmight be having. What I’m saying is this. Kama ile Katiba maoni ambayo tutatoa, ni hiyo ndiyo Katiba ambayotutakayoandikiwa.Tunataka Wakenya wamiliki bunduki. Kwa sababu, sheria zetu lazima tuzilinde na silaha. Na mtu atasema kwamba tunasemabunduki, kila mtu atapewa bunduki na kadhalika. Watu wanatembea na silaha. Masaai wako na sword, hiyo ni silaha. Lakinibunduki kama kila Mkenya atapewa, ukiangalia wakati tulipoanza kupigana kuhusu mambo ya kutafuta tuwe na Katiba mpya,wanafunzi wamekufa, polisi wamekufa. Wananchi wa kawaida wamefuka, kwa sababu tulitaka Katiba mpya. Walikufa kwasababu polisi walitumia silaha kwa wananchi ambao hawakuwa armed. So kama Wakenya wangekuwa armed, ambao sipolisi, hatungekuwa na maafa kwa nchi hii. Kwa sababu hakuna askari atanikujia mimi nikiwa na silaha, anisimamishe kwabarabara aniulize maswali, unatoka wapi, unaelekea wapi. Ataogopa. Kwa hivyo ninasema ya kwamba kila mwananchi amilikisilaha, na hii silaha iwe hivi: Labda baada ya miezi tatu ama minne, ukipewa risasi nane, baada ya miezi mitatu ama minne, hiisilaha itaenda kukaguliwa. Kama umetumia risasi moja itajulikana umetumia kwa njia gani.Nikimalizia, asante kwa ifani yakoCom. Charles Maranga: Asante wakati wako ndio umeisha. Kwa sababu, lazima uheshimu Katiba, ama namna gani?Wycliff Egesa Oguda: Nilimalizia nitasema hivi,Com. Charles Maranga: Haya sema la mwisho.Wycliff Egesa Oguda: The Provincial Administration should be scrapped totally, kuanzia kwa Asst. Chief, they serve nointerest of any common Kenyan, the Chief, the PC, the DO and the other things, we elect Councillors to serve us. Thank you.Com. Charles Maranga: Asante. Kwanza kabisa wacha nikuelezee ya kuwa, sisi kama Tume ya Kurekebisha Katiba,hatuna draft paper yoyote ambayo sisi tunalinganisha views za watu wa Kenya. Sisi maoni yenu ndiyo tutachukuwa na hizoreports mtaziona. Na hizo riporti zetu ambazo tutaandika kisheria, utaona, tunaelewana?Wycliff Agesa Oguda: Thank you, Sir.Com. Charles Maranga: Kwa hivyo hatuna any Constitutional Draft paper. Kitu cha pili, pengine ningekuuliza swali moja.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!