12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

35Commissioner, Judiciary, Police Commission. Hii, ikiwa Bunge itapewa nafasi, huyu mtu atafanya kazi, akijua ya kwambaamechaguliwa na ana watu wanaomfwata.Ya tatu ni kuhusu mashamba. Na hapa wamesema niwazungumzie kuhusu, kuwe na sheria ambapo mwanamke, (mnipe radhikwa kutumia hiyo lugha). Mama akiwa ameachwa na bwana yake na amezaa wasichana, lile shamba, wale wasichana wapewenafasi ya kulirithi kwa sababu ni wazaliwa wa area hiyo.Jambo lingine la nne ni kuhusu usalama. Usalama umeharibika kiasi ya kwamba, hata wewe mwananchi mdogo unapolala,unahofia maisha yako. Kwa sababu ya kwanza ni ya kwamba mtu atabisha, anasema yeye ni polisi, anapoingia, anaingia nabunduki, na hiyo maisha yako imeenda. Na kale ka-radio, ulikonunua ka-meenda. Kuwe na sheria ya kulinda mwananchimkubwa na mdogo.Provincial Administration: Administration kutoka kwa “liguru” mpaka kwa PC iondolewe; hawana kile wanachofanya, ilawanaongezea ufisadi na upigaji wa raia mdogo.National Education: Elimu yetu imekuwa haina faida hata kidogo. Ni heri elimu iliyokuwa hapo, mtoto angetoka Form Four,aende Form five, mpaka Form Six, ndiyo aende chuo kikuu. Lakini siku hizi tunapika watoto wetu kwa shule vile tunavyopikasukuma nyumbani.Kuhusu mambo ya dini, freedom of religion imekuwa mbaya sana, na kila mtu anajaribu kuanzisha kanisa lake kwa manufaayake mwenyewe. Kuwe na sheria ambayo kanisa likianzishwa, serikali ijue hili kanisa limetoka wapi, na mwanzilishi anatokawapi, kwa sababu mwananchi mdogo amekua akitumika kwa huyu Pastor ama Muinjilisti, kwa kupata faida yake mwenyewe.Na la mwisho ni Local Government. Local government zimekosa kazi na heri ziyondolewe na zibaki katika CentralGovernment ambayo tutapata huduma, ikiwezekana kulingana na sheria, zetu tunazotengeneza mpya. Na maoni yangu kwaCommissioner ni ya kwamba mimi nimekuwa mwaalimu wa raia, na Tumepata maswali yafuatayo: Wengi wanaamini yakwamaba tayari Constitution imetengenezwa, na hii ni kuwaadaa wananchi ili muende tu ile yenyu mmetengeneza iko kwacupboard, na ningeliwaomba, msiwe na hilo jambo, kwa sababu pesa nyingi, zimetumika, na wananchi wanategemea hasa huuwakati Wambui na Onyango wamepewa nafasi kuhusishwa katika kutengeneza Katiba hii. Asante.Com Charles Maranga: Wacha nianzie swali lako la mwisho, kwanza kabisa, sisi hatujatengeneza Katiba yoyote. Hizi riportimtazipata kwanzia constituency hadi national report. Kwa hivyo hakuna ile Katiba yoyote ambayo imeandikwa. Kama kunamwingine ameandika, hiyo ni propaganda yake. Sisi kama Tume hatujakaa chini, tuseme hii ndiyo Katiba kulingana na maoniya Wanakenya. Tunazidi kuchukua maoni ya Wanakenya, hivi karibuni tutaenda Western Province, kwa hivyo tukimaliziaWestern province, mtapata report kwa kila constituency na kila province. So hayo maneno ni ya upuzi mtupu, hakuna Katiba.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!