12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

4ya wananchi wa Nakuru, tunakushukuru kwa wao. Tena tunaomba tukikumbuka ya kwamba mmoja wao ambaye niCommissioner aliaga dunia jana, tunamuombea roho yake uipokee mahali pema peponi. Nakuuliza Baba, utuelekeze mawazoyetu, katika jukumu lile ambalo liko mbele yetu la kusaidia watu wako wa Kenya, ili yule ambaye atakuja hapa kutoa maoniyake, atoe maoni yake akiangalia masilahi ya watu wa Kenya, na mahali akaapo. Nakuuliza Baba tuwe na kikao kizuri siku yaleo, na utubariki kwa yote. Twaomba haya kwa jina ya Yesu Christo Mkombozi wetu. Amen.John Kirui: Asante sana, kwa hivyo tutasimamisha 3Cs ambao wako hapa. Gnerally,we have a very active Constitution Committee, na hapa our Chairman wana small cause today, and Cllr Balai is the actingChairman. Balai a- introduce the other members.Cllr. Asanteli Balai: Asante sana. Tuko na yule anaangalia program siku ya leo, Bwana William Atinga, kuja hapa introducewenzako tafadhali.William Ating’a: Basi Commissioners, sisi 3Cs nikianzia wa kwanza anaitwa Madam Lucy Chepkemoi. Huyo JoshuaToroitich, huyo ni Cllr.(interrupted by noise) na huyu ni Secretary wetu wa kamati hii, anaitwa Madam Magdalene Joan Kipng’etich. Huyu ni mwakilishi wa Mayor, tena ni mmoja wetu wa 3Cs Cllr. Gali Balai na mimi naitwa William Ating’a, na huyu viatuvyake ni vikubwa kumu-introduce kwangu, ni District Co-ordinator wangu, anaitwa Bwana Kirui. Thank you, Sir.John Kirui: I would also like to introduce among us our sign language interpreter Mrs. Wahome, and I would like to ask herto ask whether there are people who need her service immediately, with their signs. I am very sure they will be calling in duringthe cause <strong>of</strong> the day. I would also like to take this opportunity to welcome you Commissioners and I will be with you for a fewminutes, then I will disappear to another panel. I have three other panels today. But in all I wish you a very good stay inNakuru, and before I can hand over to you Sir, I would like to convey our heatfelt condolences for the late Commissioner, onbehalf <strong>of</strong> Nakuru people, and in particular the members <strong>of</strong> the 3Cs and the staff. I would like to call on the staff, wawekemkono juu (unclear word) msimame tuu, muonekane. Hawa wametusaidia sana Ma-Commissioner, kuendesha elimu ya uraia,na ningeomba tu kila mtu aseme jina lake akiwa huko na kuweka mkono wake hapa.Tangi: Naitwa Tangi.John Kirui: Thank you Tangi.Oruko: Mimi ni Oruko.John Kirui: Oruko, thank you.Emero: Emero

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!