Edwin Semzaba - Swahili-literatur.at
Edwin Semzaba - Swahili-literatur.at
Edwin Semzaba - Swahili-literatur.at
Erfolgreiche ePaper selbst erstellen
Machen Sie aus Ihren PDF Publikationen ein blätterbares Flipbook mit unserer einzigartigen Google optimierten e-Paper Software.
Utiaji saini mkataba na Jupiter ulifanyika saa nne asubuhi kwenye Jumba la Habari.

Joyce naye pia alikuwepo. Alivaa beloni la kaba roho la bluu na suruali ya Jeans na

viatu vya mchuchumio. Vazi ambalo lilimfanya aonekane mwana sanaa halisi. Nguo

hizo alizifuata nyumbani kwao kwenye saa mbili hivi; saa ambazo Mzee Filimbi tayari

alikuwa kazini. Pia aliacha maagizo kuwa atamleta mchumba wake jioni ile.

Hapakuwa na mengi yakufanywa isipokuwa licha ya kupigwa picha za pamoja

Fisidume alikabidhiwa cheki ya laki nane kama kianzo kwa kunyang´anywa “model”

wake. Joyce naye alipewa shilingi laki mbili ili kuanza kujiandaa na baada ya mwezi

mmoja aanze kazi kwa Jupiter. Fisidume aliwazawadia Jupiter nakala mbili za gazeti

lake la Tausi wa Alfajiri ambazo ziliongezwa uzuri kwa picha ya Joyce juu ya jalada.

(Uk. 55).

Joyce geht zur Arbeit in ihr Büro. Fisidume hilft Bob Tumaini beim Vertrieb von Tausi

wa Alfajiri. Danach fährt er mit Kotecha zum Ajip Motel und holt Joyce ab.

Gemeinsam fahren sie zu Joyces Eltern nach Oysterbay. Gloria, Joyces Schwester, freut

sich besonders über den Besuch. Sie ist neugierig. Fisidume möchte die Verlobung

schon am folgenden Tag haben, da er angeblich auf Dienstreisen sein werde. Er erzählt

der Familie viel vom Leben in der Schweiz, insbesondere in Genf.

“Baba mkwe,“ akasema Fisidume. “Wafahamu nina miaka thelathini na sita sasa?”

“Ndiyo waonyesha.”

“Bila shaka ni vizuri kuweleza juu ya nilivyotumia muda wote wa ujana wangu.”

“Leo ndio hasa siku yake.”

“Nimekuwa (nimekuwako) Ulaya kwa zaidi ya miaka kumi. Huko nilipata kupendana

na msichana wa Kizungu na nilizaa naye watoto wawili. Lakini hatukuoana na pia

watoto wamebaki huko.”

“Vizuri sio vibaya. Joyce anajua?”

“Ndio anafahamu.”

“Eti Joyce mmeshaongea juu ya ujana wake?”

“Ndio baba.”

“Basi vizuri hakuna ubaya wowote.”

Kukawa kimya kidogo na mara maongezi yakaibuka tena.

“Umekuwa mwandishi wa habari kwa muda gani?”

“Wa miaka kumi na miwili hivi.”

“Na hili gazeti lako linaitwaje?”

“Tausi wa Alfajiri.”

“Kwa nini kuliita hivyo?”

“Tausi ni ndege mzuri kuvutia.”

“Na Alfajiri?”

“Alfajiri ni wakati wa macheo. Yaani mapambazuko. Mapambazuko huashiria upya,

uhai na matumaini.”

“Ndio matumaini. Ni jina zuri.”

“Sasa mara baada ya engagement nakuruhusu kutoa gazeti lako na huyo Joyce

umpendaye akiwa juu. Sio bwana?”

Kukawa na kicheko. Mambo yalianza kunoga kwa mnogo wa kunogeka haswa.

24