26.02.2014 Views

pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb

pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb

pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mkia ukavirnba kwa mana inapata pata kidogo kidogo kisu ile.

Ukavirnba rnkia. Ikaleta harufu rnbaya inonuka nyumbani.

Mwanarnrne akauliza :

u A,' rnke wangu, nini kitu inonuka nyumbani hapa ?

Akaserna :

u Ninasikia, sijui panya huyu amakufa ...

(- Sikumwona.)

Anatwaa taya akarnulika rnulika nyurnba nzima ile anafagia fagia

nyumba nyeupe! Mkia 'ukasema: 'rnirni, mirni ninavirnba e,

ninanuka dinda hizi'.

Wamalala hata usubuhi, hehe!

- Kitu gani inonuka nyurnbani kwetu ?

Usuki haingiliki nyumbani : rnwango zirnafungwa fungwa, dirisha

zimafungwa fungwa, harufu rnbaya ende wapi ?

{- Haende mahala.)

.Die anakuja tu.

(- Nani ? Ule rnmoja ...

- Ule wa nyuma alowachwa mwituni ..., rnajini. Iko wazi! (...).)

Akaja, akaja, sabu zarnu za al'asiri pale wanaume wako karatani,

wanacheza karata ... Mi nnafanya nnakata kata tu ... Akaimba ule

anokuja :

120

à Mveya, Mveya, marna alikwambia, Mveya,

Mveya Mveya, marna alikwambia, Mveya,

Huko njiani wendako, Mveya,

Kuna nyarna wa mwituni, Mveya,

Urnbo la rnwanangu, Mveya,

Sura ya rnwanangu, Mveya,

Mserno wa rnwanangu, Mveya.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!