pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb
pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb
pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Usiku, mwanarnke akamwarnbia :

drnuriddunia, mrne wangu, sijekuna le0 na kesho, urnakwenda

rnsafara karna rnjini hapa au mbali rnbali, ukaarnbiwa: 'mwanamke

ule urnampata wapi ? usiseme : 'rnwana miaa de', sema :

nirnternpata hurnu hurnu tu'

- Ewa.

Akanunua jahazi baghala kubwa ule rnwanarnke, akampa

rnwanarnrne, hiyo. Sabu chakula ndani huko inotoka hajui (...).

Marashi ndo anokoga ndani huko.

Akitoka kwenda rnsikitini Jumaa :

a E bwana e ! Mwanarnke ule irnarnpata wapi wewe?

A ! Nimarnpata hurnu humu ...

- A ! Mzuri rnwanarnke ule!

- A ye ye ye! Mfaurne, mke wa rnasikini, miguu zake ndo sura

ya mke wako! Ã

(- Wanamwarnbia mfaurne.)

Watu wanarnwarnbia mfaurne. Usalata tena umeingia. Akaserna.:

a Mm ? Hebu, nipelekeni nikarntazame. u

Wamekwisha kusali Jumaa, sabu arnamwabia:

Kesho ninakuja nyurnbani. Ã

Akaserna :

Ewa. *

Akawaarnbia kule :

A ! Mfaurne wa katika rnji huo, kesho anakuja. Ã

Kwa rnaana rnji wake uko pwani pwani kule peke yake,

hakutanganyika rnji rnkubwa huko. Akenda zake.

Wakaingia pale, ikaletwa chakula, 'aina ya chakula. A, rnfaume

arnakula. Anamtafuta mwanarnke, hamuoni, hakuja pale.

94