pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb
pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb
pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
~imba anakuja, simba ana watoto wawili, simba na mke wake

pale pale, na simba ule mwanamme. Watu wanne hao, wawili

watoto, wawili mke na mume, na dume.

Ewa. Simba anataka kuja kumtafuna anampija kofi moja,

amatanganyika tanganyika hiyo us0 wake wote, simba amaanguka

amakufa. Ule mwanamke anataia kukimbia, mamake wale

watoto, watoto wamamfwata marra yao, ewa... Halafu ule simba

mwanamke akamjia ule mwanadamu, akamwambia :

"He we mwanadamu! Huyu mume wangu tu umeweza kumtia

kofi na amevurugika yote piya, nafsi yote ha! Basi amakufa. Basi

sasa hii mirni niwache, mi mwanamke. Niwache mimi, nnakupa

kitu itokufaa maisha yako. n

Akatoa watoto wake wale, akawaambia

Watoto wakamwambia :

Wewe mama yetu ?

- Mimi mama yenu ?

- Ewa.

- Basi, nnakupeni huyu. Mmaona hii neno huyu baba yenu

ilompata hapa. Amempija kofi moja chini, kisha amevurugika,

amakufa, kaifa mimi mwanamke sina nguvu hapa sisi sote

tutakufa. Basi, namumfwate huyu killa neno anosema, insha-

Llahu ta'ala, namfwate. Msihalifu neno yale. Wakati ule nami

nakwenda zangw. ;>

Ewa. Amamwambia ule mwanadamu (ule alompija kofi mume

wake, akafa), ewa, haya :

c Kwa herini, mimi nakwenda, insha-Llahu ta'ala mimi nitawaona

watoto wangu mengoni mwa suku. >>

Ule mwanadamu akasema :

< Usitia khofu wewe. :>

Anaingia mshituni pale, wale simba wanakula chakula. Wamakwenda

hata wamepata mji mkubwa, mji wa kifalrne. Kuna mzee

njiani ..., hapo ..., nyumba yake, wakaingia, ewa, na ule ndugu